The Update Hub

The Update Hub Follow for more entertainment
(7)

05/03/2026
09/10/2025

Hello

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ’π“π‡ π‰π”π‹π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Ahaa! Leo hii Neema ilikua akuje kuona Richard na ikawa opportunity mzuri sana ya...
11/07/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ’π“π‡ π‰π”π‹π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Ahaa! Leo hii Neema ilikua akuje kuona Richard na ikawa opportunity mzuri sana yake yeye kuonana na Mark..you can see the hug hadi Richard akaona wee acha atoke nje apee hawa time ju Richard akiendelea kukaa hapa walai atasimamisha mbele ya Mark🀣🀣I mean kusimamisha kesi yako...

Mark aliambia Neema manze,kukaa peke yangu kwa hao imekua ngumu but Neema akamwambia usijali at least akina Amani wako. Kisha Neema akabreak sad news kwa Mark,akamwambia Eddy ameniambia not to ever meet you k**a nataka kesi iende vizuri. Mark hakuamini,akaambia Neema don't do this but Neema akamwambia please my love I have to do this ndio kesi iwe dropped na maybe itakua rahisi sana kwangu kurudiana na wewe.

Huh! Kumbe Eddy is 2mins way anakuja so ikabidi Neema amehug Mark an huyoo akaenda. Wanapendana sana ni venye tu situation haiwaruhusu.

Kumbe Sharon wamekuja kwa Eddy 🀣🀣Eddy na Neema ndio tu wamerudi ni maid alikua hapo,akawauliza awasaidiaje? Kumbe hata Neema alikua ameacha report kuwa watakuje,so walikaribishwa wakaingia ndani.

Sasa cheki,Sharon aliingia akaambia Neema wow nimekumiss sana. Eddy anaomba tu Sharon asichome but hawana habari huyu alichizi haezi kumbuka kitu. Eddy alitoa vurugu akataka kutoa Sharon nje lakini Sharon akamuuliza wewe na wewe ni nani? Isabelle akaambia Sharon huyu ni Eddy. Sharon akauliza Neema uliona nini kwa huyu,kumbe huyu ndio Eddy? Eddy akashindwa wait,kwani umenisahau🀣🀣🀣

Sharomn aliambia Neema,uliona nini kwa huyu mwanaume,huyu ukitoa tu pesa sura hana. Ikabidi Isabelle amemuita Eddy akamwambia huyu Sharon alipoteza memory na ndio maana hakumbuki kitu. Eddy akamwambia how I wish asahau kila kitu 🀣🀣🀣 Isabelle akamwambia ooh,ju unajua chenye ulifanya sindio,hata pia najua ulihonga Sharon aseme uongo kotini na ulimpea pesa. Eddy akifurahi ati Sharon hakumbuki kitu,already Isabelle anajua kila kitu.🀣🀣🀣

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Eddy alirudi akiwa na furaha sana,akaambia Sharon pole kwa ajali ulipata sikua najua. Sharon akamuuliza, ajali gani ama umekua ukinichunguza?🀣Sharon anachukia sana Eddy but hii inamshtua sana Neema, mbona Sharon ile siku alitetea Eddy na sai anamchukia hivi,.?

Naomi ashamaliza kufile divorce yake na Richard na boy wake alimwambia hunny, we are getting married soon sasa. Naomi ako na furaha sana hadi anaambia mpoa wake thank you soo much for loving me. Huh! Mchezo ya town.

Rachael na yeye akiwa nyumbani, form kutoka kwa Mr Isaac zililetwa za kuwa signed but Rachael akaambia delivery boy,enda mwambie venye tu nilimwambia siweki sahihi.

Amani ako kwa preparation za birthday ya mamake na wanangoja gari huku kwa barabara. Amani, Jayden, Jojo na Melissa walikua hapa.

Kumbe Naomi wanakaa same estate na akina Eddy hadi akitembea tembea alikutana na Isabel.

Val alimcall Sharon akamwambia,guess what mum, imagine Mark anapeleka Rachael out leo..sasa Sharon kuona Naomi akamwambia wee,si wewe ni rafiki wa Neema yule wa bank.fanya hivi ukiingia huko ndani ambia Neema leo Mark anapeleka Rachael na aende alinde ndoa yake. Kisha Sharon huyoo akaenda.

All in all, Jayden,Val.Amani,Melisa na Jojo wanaenda out. Huko mbele,Jojo na Jayden wameshikana,huku nyuma Val amejikaza kwa Amani na hapo kando Melissa ako tu kiwoman solo.

Rachael alikuja kuuliza Mark k**a ampikie lunch but Mark akamwambia no need was thinking leo twende out...Rachael akashtuka hadi akamuuliza wee,unamaanisha mimi na wewe? Mark akamwambia yeah,its your birthday. Rachael akafurahi sana venye Mark amekumbuka birthday yake lakini Mark hakukumbuka,ni venye ni Amani alimwambia 🀣🀣🀣

Naomi amefika kwa Neema na it been long. Sasa Naomi alianza kuambia Neema,ulifanya poa sana kurudiana na bwanako lakini Neema akamwambia hakuna ndoa hapa ni watoto tu tunalea. Eddy akaambia Naomi unaona,huyu rafiki yako hata haheshimu ndoa yake kabisa but Neema akamwambia sikiza, hakuna ndoa hapa ni watoto tunalea alah. wah! Kunoma sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸπ“π‡ π‰π”π‹π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 Usipite k**a hujaeka LIKE....𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Wakati wa supper,wakiwa mezani,Eddy akaamua kuchokoz...
10/07/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸπ“π‡ π‰π”π‹π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Usipite k**a hujaeka LIKE....
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Wakati wa supper,wakiwa mezani,Eddy akaamua kuchokoza Neema,akamuuliza Neema after kuona hakuli vizuri "hunny uko sawa", Neema ju ya mtoto wake akasema tu yeah but aliboeka sana kusikia akiitwa hunny 🀣🀣🀣. Eddy aliwaambia anapanga trip ya familia poa sana,Ian akamuuliza k**a uncle Mark pia atakua? Eddy akafura akamwambia huyo atakua busy na familia yake 🀣🀣🀣

Jojo na yeye,akaambia babake kesho anaenda trip na Jayden for 2 days but mamake akamwambia si kesho ni birthday yako? Jojo akamwambia yeah,hata Jayden atakua hapo...Neema hakutaka Jojo aende ju hataki kuachwa solo kwa hii nyumba na Eddy but for the first time, Eddy tukitarajia akatae,akaambia Jojo usijali,wee enda hata ukitaka uende for full week and enjoy yourself🀣🀣🀣Neema aliboeka sana but Eddy anataka wabaki na Neema peke yao.

Huh! Kwa Mark wanakula tu poa lakini Rachael alishangaa sana kuona Mark ameanza kumsmilia akajua baaasi mapenzi inarudi lakini sikiza, Rachael anadhani Mark anamsmilia yeye but Mark akiangalia Rachael anaona hivi,angalia hii picha nimeeka,hivi ndio Mark anamuona Rachael,anamuona k**a Neema na ndio maana anasmile🀣🀣🀣(picha nimeeka ya kwanza),angaliabackground penye Rachael amekaa na Neema amekaa,so Mark anaona Rachael akiwa k**a Neema but kuona tena ni Rachael akaboeka🀣🀣

Karen,anaambia bro wake,venye Eddy ametumia mtoto hadi Neema amerudi kwake but bro akamuuliza kisiz,uko jealosy ama? Karen akamwambia noo huyo mtu alinitesa sana na inaniuma sana nikiona he is still winning but Karen aliapa,actually huyu ni cuzo wake si bro wake. Karen aliapa akasema she won't let Eddy win na kuna kitu atafanya kusaidia Neema iwe k**a apology. So Neema kuponea huu mtego wa Eddy,usaidizi ni kwa Karen tu.

Sharon,bado system ya kichwa haifanyi hadi anauliza by the way Cate alienda wapi ama alioleka na huyo boy wake Brayo? Val akaona ili maneno iishe akaambia tu mamake,yeah alioleka wakaenda kukaa mbali. Val pia aliomba ruhusa aende trip pia but babake akamwambia no way,huwezi lala nje for 2 days. Val akamwambia but dad,naeza take care of myself lakini Dancan alikataa,akamwambia period. Sharon akaambia Dancan wewe na wewe,hutaki mtoto afurahie,sasa siku mbili ni za kukazia mtoto. Sharon akaambia Val,utaenda. Dancan akaona ok haina shida, haezi taka kukosana na Sharon pia akaambia Val its ok utaenda.

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Amani alikuja kuongea na babake,akamuuliza kujifungia mbona but Mark akamwambia it hurts,seeing my woman leaving but Amani akamwambia sikiza mzae,Neema alienda ju hakupendi,she only love about herself and her son,not you, but ona mimi,mtoto wako na madhe tuko hapa,hutupei attention? Mark akamwambia huwezi elewa,Neema left here crying and this is my first night bila yeye hapa.

Neema aliona haezi lala kwa room peke yake huyu gaidi anaeza mkujia usiku,akaona sasa akuje kulala kwa room ya Ian. Eddy aliboeka,hadi akamuuliza wee si uko na room yako? Neema akamwambia I always sleep with my son.🀣🀣🀣

Neema analala anafikiria tu Mark hadi anaanza tu kulia. Ashaanza kumumiss already.

Jojo nako kalikuja kuchoma,kakaambia mamake,jana nimeongea na Amani na akasema Mark ako happy sana hadi anasaidiana na Rachael kupika so nik**a ashamove on...Neema akawa heartbroken🀣🀣🀣

Naomi aliraukia kotini and just like that ameamua wadivorce,hadi Richard anamuuliza what really changed? Naomi akamwambia life is too short,so twende tumalize divorce niende. Richard anashtuka tu huyu ni Naomi kweli ju he didn't expect Naomi akubali haraka hivyo but hajui Naomi anafanya hivi ndio aolewe na boy wake hana habari hakuna ndoa na boy wake🀣🀣🀣

Sharon na yeye ameamua ati aende kwa Eddy kutoa Neema huko 🀣🀣 Isabelle alimwambia relax tucall Neema kwanza.

Neema washafika kotini kuandika report ya Ian's kidnapping. Punde si punde,report ikafika kuwa yule mshukiwa amejitoa uhai so kesi haiezi enda pahali. Neema aliudhika sana,ju in one way or the other,lazima Eddy ako involved kwa Ian kidnapping but shida sasa inasemekana mtekaji nyara alijigonga kwa ukuta huko jela akafa.

ππ„π„πŒπ€ πŸ”π“π‡ πŒπ€π‘π‚π‡ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 Follow Neema Citizen TV Updates 𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 A family that eats together. Babu aliambia Neema,...
05/03/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸ”π“π‡ πŒπ€π‘π‚π‡ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Follow Neema Citizen TV Updates
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
A family that eats together. Babu aliambia Neema,ako almost kupata pension na ameona ju mpenzi wake hajawai panda ndege, lazima atampanishaπŸ˜‚πŸ˜‚Babu na Isabel wanapendana sana hadi Ian akasema pia anataka honeymoon but akaambiwa yoh,hiyo ni ya married people only. Jojo na yeye na stress zake kaliamka kakaenda na watu wakashindwa sana kuna nini but Cate akawaambia ni story ya Jayden inamsumbua.

Sharon leo ameletwa out na mpenzi wake Dan,and they really look good together. Sikuhiz Dan ameongeza mapenzi,mbaya mbovu hadi Sharon akamwambia babe,umekua mhandy tu from nowhere hauko ugly anymoreπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huh! Huku kwa Francis wakiwa tu wametulia,wazimu alifika sasa..wueh! Jayden aliingia kwa Francis k**a ashamwekelea ngumi ya uso,mbaya mbovu,na akamwambia hiyo ni ya kumpiga babangu...Francis na yeye kuamka badala ampige Jayden,akampiga Salome.. and for the first time,Salome badala ya kuhisi uchungu kwa kupigwa,alihisi furaha,kwa nini? Kwa sababu after kupgwa,Jayden alimkimbilia akamshika akamuuliza "mum,are you ok" something that Salome never expected Jayden kumuita mum.

Sasa kugawa na mgawanyo,Jeska na Jayden wakakaa side ya Salome,na huyo kijana kichwa ngumu akakaa side ya Francis. Jayden alitupia Francis tule tupesa na akamwambia ukome sana na babangu. Kisha sasa,yule kijana wa Francis ati sasa anakuja kusimamia Jayden ghai! Jayde alimwambia bro,ujaribu tu hivi,kesho unazikwa,k**a naeza tandika babako,imagine sasa weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Richard na Olivia,kuna venye...ju wanataka sana divorce iende througu ndio wao waoane.

Sasa cheki,kwa Mark,kishaumana sasa. Babake Cate na uncle wake Cate wahafika huku na wakampata Ian hapo nje akicheza wakamuuliza k**a Mark ako..akasema yeah ako huko ndani na mamangu..wakamuuliza k**a yeye ni mtoto wa Mark akasema zii,akasema uncle Mark yeye ako na bibi yake anaitwa Cate mwenye ako mimba...babake Cate wakajua baaaasi this is it.

Kumbe Cate na Tom wakitembea waliona baba yao before wao waonekana walitoka mbio mbio hadi kwa nyumba,wakaambia Mark wao kwisha kisha wakakuja kujifungia kwa room moja huku but Tom aliapata,no matter what,nothing will happen to them!

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐 IAN AMERUKA KICHWA
Solomon na uncle washafika kwa nyumba alafu Ian ni kafala,kanauliza Mark, Cate ameenda wapi? Neema akamwambia Ian, who is Cate,hakuna mtu anaitwa Cate huku...Jojo pia ashachanuka,alikuja akauliza Mark "Dad,whats happening here" Ian akauliza Jojo mbona unaita uncle dad? Jojo akasema ni ju yeye ni our step dad. Jojo anafanya hivi ili kuchanganya hawa.

Neema aliambia Solomoni sikiza, huyu ni bwanangu,sijui ni nini mnataka. Mark akauliza Solomoni,mbona ukuje kwangu bila hata kupiga simu? Solomoni alimwambia wee Mark hii hasira yako upunguze usisahau nililetea bibi yako zako. Mark alikuja juu,akamwambia k**a ni zawadi naeza rudisha alah. All in all,Solomoni waliamua hakuna mtu anaitwa Cate huku na hao wakaenda. Jojo played it well.

Lakini sasa kuna shida,kumbe leo hii ndio siku Cate labour pain inashika sasa,wah! Makosa sana na bado babake hajaenda mbali na Cate yafaa afike hosi sai sai.

Huku nje,Solomoni anasema Mark ako na bahati sana watu wangekua hapo. Uncle wa Cate aliambia Solomoni,hako katoto kako na kicha mbaya,so huku hakuna kitu cha kupata twende tu nyumbani but Solomoni anaona apana,lazima kuna kitu kinafichwa.

Alphonse na yeye akiwa kwa ofisi,assistant wake alifika akamwambia boss,kuna shida,yule jamaa aliekwa ndani kwa ksema ni yeye aliua Serenge analeta shida,anasema bibi yake anunuliwe nyumba. Alphonse akamwambua unaona,nilikuambia usimuue Serenge,wewe ukaenda kumuua ona sasa shida unaleta huku? Kumbe maskini wa Mungu,Alphonse wakiongea kuna mtu wako recorded...

Sharon na yeye wakitoka out,walikutana na akina Solomoni...kisha uncle wa Cate akauliza Sharon k**a Neema na Mark ni bibi na bwana but ju Sharon anakuanga wazimu huwa anadhani ni bibi na bwana akawaambia yeah,wameoana na hata wako na wasichana wawili,mkubwa na mdogo but Solomoni akamwambia tukiwa hapo,tumeona msichana mmoja mwingine ako wapi? Dan akaona hawa ni wapuzi akawaambia nyinyi muache kuuliza bibi yangu maswali,kwendeni hukoo mbali sana. Ilikua imebaki tu kido..Sharon aropokeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Thanks to Dan.

ππ„π„πŒπ€ πŸ“π“π‡ πŒπ€π‘π‚π‡ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒  Neema Citizen TV Updates 𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Alphonse akiwa kwa ofisi,alipigiwa simu na Naomi,akamwa...
04/03/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸ“π“π‡ πŒπ€π‘π‚π‡ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Neema Citizen TV Updates

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Alphonse akiwa kwa ofisi,alipigiwa simu na Naomi,akamwambia for now iam out for vacation sitakua around! Alphonse akamwambia haina shida,as long you behave,I won't need you anymore...

Neema pia aliambia Mark by the way Naomi ameenda vacation na hata hakusema kwenye ako na simu zangu hashiki. Mark akamuuliza by the way,mbona hukuniambia she was cheating? Neema akamwambia babe,relax it was nothing na sikutaka uone mimi ni wa udaku...akamuuliza na wee ulijuaje aje? Mark akamwambia Richard told me everything. Kumbe hadi Richard alijua Naomi anacheat.

Wakiwa tu hapo, Rachael akacall Mark ju pia amepata habari alipata ajali lakini Mark alimwambia Rachael sikiza, we haven't talked for like 20yrs and to me you are dead please,just move on na maisha yako,I have a life tooo..hii ilifanya Neema akasmile lakini akeia tu amesmile hivi,simu ya Mark message ikatumwa kutoka kwa Rachael.

Mark alimpea Neema simu asome text na kwa text Rachael ameambia Mark, you belong to me my love and I will always love you. Neema akaboekaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Baraza alijaribu kuongelesha Jayden kuhusu Jojo but Jay anamwambia dad please hii story siitaki kabisa but Baraza alimwambia yoh,you need to be the mature one kwa hii relationship ju najua mnapendanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jayden akamwambia by the way Jesca alikuja kuniona shule..Baraza akamuliza Jesca naye ni ndio nani? Jay akamwambia ni sister yangu na ni kasichana kapoa sana na kako very mature.

Mark ilibidi ajiteteee na kumbe wakati Mark na Rachael wanadate imagine walienda to an extend hadi kupata marriage certificate na hii inamuuma sana Neema but Mark alimwambia sikiza babe,that time, we were really in love and I loved her but for now ni wewe tu.

Isabelle na Babu,washapanga hadi honeymoon yao wanaenda MombasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚imagine shosho na Babu wanaenda Diani huko Mombasa alafu sasa kuna wewe hata Kibwezi tu hujawai pelekwa...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Alafu kutetea Jojo ishakua ngumu...ju leo Jayden aliamua akuje kumpick shuleni waongee lakini kufika,akapata Jojo anavibe na Brayo mbaya wakicheka...ilibdi Jayden apite tu aende zakeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jojo alitaka kumsimamisha but hadi pia alishindwa.

Richard na Olivia na wao,nik**a washaamua hii kitu waijaribu,hadi wanaenda jogging morning kujaribu kupunguza mafuta kwa mwili.

Bro wa Jesca ako na wasiwasi sana hadi anauliza babake,hii kesi inaeza nipeleka prison? Francis alimwambia usijali, hakuna prison utaenda,iam her with you.

Jojo alikua amesema hatarudi kwa model tena..but ju Jayden mwenye humkazia ashajifanya maandazi,kalirudiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Neema on other side,washaelewana wataambia Jojo kuhusu wao after exam but Mark anajaribu kuimagine tu venye Jojo will react but Neema alimwambia usijali,my life and my relationship ni personal decision.

Eddy once in a while hutembelewa na Karen na this time round, Karen alikuja na good news akamwambia babe,kesi yako ishatolewa ju hata huyo dem ni pesa tu alitaka. Eddy akajua sasa,akitoka hapa huyo dem atajua yeye ni nani but Karen alimwambia relax,tusahau tu iende hivyo.

Francis na yeye,ni wale matajiri hudhani money can buy anything. Alikuja kwa Baraza akamwambia mzee, nimekuja we make a deal...kesho kuna kesi na nataka kukuoffer elfu kumi alafu mdrop hiyo kesi. Baraza alimwambia sikiza, Jayden si mtoto,he will make his own decision. Francia akatoa pesa akampea Baraza na akamwambia najua mko njaa so chukua hii but Baraza alikataa. Francis akamwambia sijui maskini mko aje,kaa nilinunua bibi yako anakaa kwangu,wewe ni nani unakataa? I will destroy you. Baraza hataki ujinga ju hadi alimtandika Francis kiasi.

Brayo na yeye aliamua kujitetea kwa Jojo, akamwambia manze nimekukufia sana,can we date But Jojo alimwambia yoh, mimi sina feelings kwako,so bro,enda penda dem anakupenda...Brayo akamwambia ooh,because of that loser..ni nini unaona kwake? Jojo alijam akaenda.

Jayden kufika kwa shop,akapata babake anatoka damu kwa mdomo akamuuliza ni nini mbaya dad? Baraza akamuelezea venye Francis alikuja na hongo akakataa na hadi akamgonga. Jayden alijam,alitaka kuenda kumkuta Francis but Baraza alimwambia no,achana na yeye.

Ishakua mtindo,Jojo akitoka shule,anapitia kwa model na leo hii alilipwa na akaambiwa k**a anaeza fanya shoot ingine ya magazine but Jojo alisema,hayuko intrested na huyoo akaenda.

Good Night.

ππ„π„πŒπ€ πŸ’π“π‡ πŒπ€π‘π‚π‡ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒, Follow Neema Citizen TV Updates Ukiona hii Updates,weka LIKE𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Sharon akiwa jikoni,...
03/03/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸ’π“π‡ πŒπ€π‘π‚π‡ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒,
Follow Neema Citizen TV Updates

Ukiona hii Updates,weka LIKE
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Sharon akiwa jikoni,walimuona Alphonse. Alphonse alikuja akaambia Neema please, tunaeza ongea kiasi? Neema akamwambia apana but Alphonse akasema please kidogo tu. Sharon akauliza Alphonse,shida yako ni nini si umeambiwa apana,ama uko kiwete na maskio piaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Neema alimuuliza unataka nini? Alphonse akamwambia nimepigiwa simu you turned down job offer ulipewa? Neema akmwambia yeah because I don't want anything to do with you. Alphonse akamwambia please, I did it professional sikua na ubaya lakini Neema akamwambia nimekuambia sitaki and I don't care. Alphonse akamwambia but hii attitude yako haikusuit kabisa what have I done? Neema akamwambia sikiza, anytime unakua karibu na sisi something bad happens na hata ajali ya jana haikua ya kawaida. Alphonse akawaambia kwendeni huko! K**a mnadhani ama mnaniaccuse endeni polisi lakini Neema alimfukuza,akamwambia kaa mbali na sisi. Alphonse ilibdi ajitoe,ju sasa k**a hutakwiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Karen na yeye alipigiwa simu na Naomi akamwambia babes,nimeenda vacation kiasi I will be away kiasi nimeenda na Goliath wa Bungoa tutarudi next time. Karen akamuuliza what of Eddy,yafaa tumtoe ndani? Naomi akamwambia huyo,let him learn his own lesson. Karen akamwambia yoh,yafaa tufanye wedding soon so please enda vacation mbio na ukijifungua make sure you call me..thats how Naomi ametolewa kwa kipindi.

Jojo alikuja shule kutafuta Jayden ju anataka sana waongee. Jayden alimuuliza unataka nini? Jojo akamwambia I just came to see you,can we go somewhere tuongee? Jayden akamwambia tunaeza ongea tukiwa tumesimama hapa ju wewe sikuhizi sikuelewi kabisa,si Brayo,si Ben sasa..but Jojo akamwambia yoh,I still love you Jayden. Jayden alimwambia wee siezi kuamini so please,lets go our separate ways. Wueh! Jojo aliona haina shida,akaambia Jayden ni sawa,and good bye. Kumbe Jesca wa Salome was in vicinity,akakuja kwenye Jayden amesimama.

Jayden alimuuliza na wewe ndio nani? Jesca akajiintroduce kuwa mtoto wa Salome. Wakaongea kiasi k**a bro na sister...Jesca anaambia Jayden unafanana madhe,,,na Jayden anamwambia at least tabia zangu ni za babanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Jesca waliongea sana na Jayden na hata Jessy anajaribu kuambia Jayden how I wish angepea mamake chance but Jayden akamwambia huwezi elewa ju you aren't in my shoes. At some point, Jayden is trying to understand Jessy hadi akamuuliza,so unajaribu kufanya nini? Jessy akamwambia hamna,nilitaka tu tujuane. Jayden alikua amejam but anajipata amesmile ju Jessy ni vibe.

Haya,turudi kwa barabara,uncle wa Cate alipigiwa simu na babake Cate,bado wanatafuta Cate na mipango zao ni wapate Cate aletwe aolewe venye walikua wamepanga.

Jayden aliambia Jessy huwezi elewa ju hukuachwa na madhe,mimi niliachwa. Jessy akamuuliza by the way ile story ya kufile kesi..will you continue? Jayden akamuuliza ooh,so ulitumwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Jessy akamwambia zii,my brother is spoiled kid,how utadeal na yeye its upto to you and Iam happy for having a brother like you. Jayden na Jessy wakahugiana hapo na huyo,Jessy akaenda.

Our newest kiwete in town,Mark alitembelewa na mabeshte zake akina Baraza,bossy wake na hata Babu Jay,kisha punde si punde,wazimu akafika...thats Alphonse. Mark akamuuliza unataka nini? Alphonse akamwambia sikiza Mark,sijui mbona unanitreat k**a enemy hapa na kwanza una bahati sana hukuvunjika mguu k**a mimi ju imagine k**a ni mimi ningevunjika miguu zote.

Alphonse amekuja na hasira zake huku,hadi anaambia bossy wa Mark,usipokua keen sana na huyu,atakuharibia kazi na atakupotezea clients. Kisha huyoo,Alphose akaenda,bossy akamfuata kuongea na yeye asije akaharibu kazi. Yani Alphonse amejam kwa kukataliwa na NeemaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jojo akipita,aliitwa na Baraza akamuuliza k**a ako sawa? Jojo akasema yeah but Baraza akaona apana,hawa watoto kuna kitu kinaendelea and Jojo akaona k**a hivyo ndio Jayden ameamua yeye na yeye aliamua kuambia Baraza ukweli wa mambo.

Sharon wakitoka job,alikuja kwa Mark direct,akamwambia Mark.leo umemiss uhondo,huyu wife wako Neema,amempasha huyo mwanaume wakipara,venye inafaa. Neema aliambia Mark venye alimpea Alphonse stopper,Mark pia akamwambia kwanza amekua huku...kisha Neema akaambia Mark,ile place ulipata ajali,kuna kitu hakiko sawa,hiyo shimo ilichimbwa jana tu. Mark akamwambia then that's Alphonse,he is setting a trap. shida tu,hawana proof.

Jojo alifunguka,akaambia Baraza kila kitu,from job,to Ben to everything. Baraza akamwambia k**a kuna kitu Jayden wangu hapendi ni kudanganywa na hapo ulifanya makosa sana...hata k**a ulifanya wa kusaidia mamako.

Baraza aliambia Jojo ataongea na yeye waone venye mambo itakua na Baraza akamwambia,adui wa mapenzi ni kiburi na kila mtu hafai kuwa juu,Jayden ako juu hufai kuwa juu,wewe ukiwa juu Jayden hafai kuwa juu,kiburi kwa mahusiano si poa hata kidogo.

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ–π“π‡ π…π„ππ‘π”π€π‘π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒 Follow Neema Citizen TV Updates 𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏 Mark alikuja kwa field na Alphonse na wanatem...
27/02/2025

ππ„π„πŒπ€ πŸπŸ–π“π‡ π…π„ππ‘π”π€π‘π˜ π–π‘πˆπ“π“π„π 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒
Follow Neema Citizen TV Updates
𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟏
Mark alikuja kwa field na Alphonse na wanatembea tu pole pole na Mark hana habari kuna mtego mbele yake. The saddest part us Naomi was watching Mark akienda kwa mtego hivi. Mark maskini wa Mungu bila kutarajia,alikanyaga kwa shimo,akavunjika mguu,mbaya mbovu. Ni nduru tu ilisikika kisha Alphonse akasema aje "finall justice has been served" wah! Ni mbaya sana manzeπŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²πŸ₯²

Jayden na yeye,ashasoma text ya fb,aliumwa but akasema haina shida,haidhuru! But you can tell,he is hurt.

Neema walikuja mbio na akacall ambulance,akawaambia tafadhali kimbieni kwa farm,Mark ameumia. Ona sasa Alphonse,anajifanya venye amehurumia Mark but deep down,he is happy kuruka.

Jayden alirudi jioni akamngoja Jojo but Jojo kumuona tu hivi,akajua huyu amejam..akauliza Jayden whats up,unakaa kujam shida ni nini? Jayden akamuuliza mbona ukanidanganya kuenda model...si I thought ilikua kitu ya once? Jojo akamwambia yeah ilikua ya once tu babe,Jayden akamuuliza what of Ben? Jojo akamwambia aai huyo ni ex tulimalizana hata hatujawai kutana for 3 months,huyo hata nilisahau! Jayden akamuonyesha ile picha akiwa hugged na Ben. Jojo pia alishtuka ju she didn't know anapigwa picha.

Jayden at this point,just like any other man,being hurt aliambia Jojo you know what? Me and you,its over,nimejaribu sana kukuvumilia Jojo but wewe umeishi kwa uongo,wacha mimi nijitoe ubaki an demio yako,mimi naenda kutafuta wa harrier and just like that,Jayden walked out of Jojo akiwa amejam sana,wah! 😭😭😭

Mark ashafika hosi and good news is, atatembea within some months and bad news is, mguu ushavunjika vibaya sana. Neema alifeel very low sana na Naomi akanotice kuna venye hawa wawili wanaangaliana na s*x eyes hadi akaambia Neema weeh ebu kuja kiasi tuongee.

Kufika nje Naomi akauliza Neema,kwani whats between you two,you guys dating? Neema ju anataka ibaki siri for now,akmwambia zii just normal friends. Naomi akamwambia apana nimeona sana venye mnaangaliana kuna kitu lakini Neema akamuuliza so what? Neema aliambia Naomi wee pia usinisinye alah!

Jojo na yeye amejam,alimcall Ben akamwmabia sikiza mwanaume,there is nothing between us,na kwa manufaa yako delete that video haraka sana....

𝐏𝐀𝐑𝐓 𝟐
Jojo alikuja kumlilia Cate, akamwambia manze mimi na Jayden tumekosana..nilienda kwa ile model job na sikumwambia. Cate akamuuliza so amejam ju hukumwambia ama? Jojo akamwambia how I wish...tukiwa hapo Ben alikuja na kumbe cuzo wake alikua anapiga picha na sikujua na akapost na Jay akaona so amejam sana. Cate akamwambia Jayden is right kwanza ulimdanganya uliacha model...Jojo akamwambia sikia sasa mwenye anaongea,wewe mwenye uliishi hapa kutudanganya bibi wa Mark kumbe sio? Cate akamwambia I did for the sake of my safety,wewe na wewe? Ulifanya ju ya?

Huku hosi,mapenzi sasa ndo yanashika kati ya Neema na Mark,sasa ndio yako tight k**a wewe❀️❀️❀️Mark alimwambia don't be sad kwa venye niko,this is now fresh start for us. Neema alimshika akamwambia babe, you are just not my savior,you are my mirror and I love you sooo much. Wakiwa tu wameshikana hivyo, Olivia na Richard wakaingia...Richard alikuja kuwapeleka home but Neema akamwambia usijali tuko na gari,ikabidi Olivia na Richard waende kunywa kahawa kiasi.

Sasa Alphonse alimcall Naomi akamwambia anataka arudi huko kwenye Mark ako but Naomi akamwambia zii,washaanza kunishuku ju sikukua surprised venye ilihappen so siezi rudi huko. Naomi anaboeka sana na huyu Alphonse but sasa atadu!

Olivia na Richard walikuja kuongea kiasi na Richard akahakikishia Olivia kuwa,yeye na Naomi haezi rudiana na huyo mwanamke tena.

Jayden amefika kwa shop yao anafeel so low sana hadi babake anauliza yoh rada ni which shida ni nini? Jayden alimwambia please dad, si sai sijiskii kuongea. Baraza alishindwa sana kuna nini,hana habari kijana wake amekua heartbroken.

Neema na Mark on other side ndio wanarudi home Mark akiwa na crutches.Kila mtu alishtuka ju hakuna mwenye alijua. Isabelle alimuuliza k**a ako sawa but Mark akawaaambia msiwe na wasiwasi nitakua sawa.

Naomi na yeye alikuja kwa Alphonse,akamuuliza shida yako ni nini? I have done everything you want shida yako ni nini? Alphonse akamwambia hukufanya venye ilifaa,that hole was too shallow,nilitaka avunjike kabisa so hakuna kitu ulifanya hapo. Naomi alikataa but kuna kitu alionyeshwa kwa simu ya Alphonse,akashtuka kisha akaambia Alphonse nini, I will do anything you want,kwani ni nini Naomi ameonyeshwa? Tutakuja kujua but for now Naomi is still under Alphonse's control...aah hata haina haja tungoje sijui ooh siku gani ndio tuambiwe chenye ameonyeshwa,mimi nawaambia tu sai! Chenye Naomi ameonyeshwa,ni zile picha na vide akichimba ile shimoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Address

Nairobi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when The Update Hub posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to The Update Hub:

Share