Makhtaba Mart Educational Publishers

  • Home
  • Makhtaba Mart Educational Publishers

Makhtaba Mart Educational Publishers Dedicated to excellence in learning

08/07/2026

Ilifana😇

Ungana na wakurugenzi wetu kesho asubuhi katika KBC Channel 1.
05/07/2026

Ungana na wakurugenzi wetu kesho asubuhi katika KBC Channel 1.

05/07/2026

Karibuni nyote tusherehekee lugha yetu ashirafu ya Kiswahili.

Wakurugenzi wetu watakuwa kwenye Radio Taifa kesho asubuhi. Tega sikio tukujuze mengi kuhusu siku ya Kiswahili duniani.
05/07/2026

Wakurugenzi wetu watakuwa kwenye Radio Taifa kesho asubuhi. Tega sikio tukujuze mengi kuhusu siku ya Kiswahili duniani.

04/07/2026

Mkali wao Bwana Nyamai mwenyewe anawakaribisha.

04/07/2026

Mwalimu Otieno Musa amewakaribisha kwa mpigo.

04/07/2026

Bwana Wekesa mwenyewe anawakaribisha

04/07/2026

Kiswahili ni zaidi ya lugha—ni utambulisho, umoja na daraja la fursa duniani.

Jiunge nasi tarehe 7 Julai 2026 katika Kenya High School kuadhimisha Siku Kuu ya Kiswahili Duniani chini ya kaulimbiu:

"Kiswahili kwa Amani, Mshik**ano na Diplomasia ya Kiuchumi ya Kimataifa."

Maadhimisho haya yamedhaminiwa na Makhtaba Mart Educational Publishers kwa ushirikiano na KBC na Kenya High School.

Karibu tusherehekee na kuienzi lugha yetu.

04/07/2026

Kiswahili kinaunganisha watu, tamaduni na mataifa. 🌍

Jiunge nasi katika maadhimisho ya Siku Kuu ya Kiswahili Duniani tunapoadhimisha mchango wa Kiswahili katika kuimarisha amani, mshik**ano na diplomasia ya kiuchumi ya kimataifa.

Maadhimisho yatafanyika katika shule ya Kenya High School

Maadhimisho haya yanadhaminiwa na Makhtaba Mart Educational Publishers kwa ushirikiano na Kenya High School na KBC.

Usikose kuwa sehemu ya historia tunapoendelea kuinua hadhi ya Kiswahili k**a lugha ya mawasiliano, elimu, biashara na maendeleo duniani.

Karibu tusherehekee Kiswahili, lugha inayotuunganisha!

**ano

Address

PO Box 30456

00100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Makhtaba Mart Educational Publishers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

  • Want your establishment to be the top-listed Arts & Entertainment?

Share