Iambanzaphd

Website

Iambanzaphd 🎬 Content Creator | πŸ’ˆ Barber
πŸ“ Githurai 45 β€” Nyuma ya Naivas
πŸ“² Bookings & Inquiries: 0745 736 132
πŸ”₯ Creating. Grooming. Inspiring.

Precision over everything. βœ‚οΈπŸ”₯Kids deserve fresh cuts too.πŸ“ Nairobi | DM to Book
02/08/2026

Precision over everything. βœ‚οΈπŸ”₯
Kids deserve fresh cuts too.
πŸ“ Nairobi | DM to Book

UCHAMBUZI: JE, "UHAKIKA REMIX" YA IBRAAH FT. ZUCHU IMEFIKIA MATARAJIO YA MASHABIKI? πŸ”₯Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu ...
05/07/2026

UCHAMBUZI: JE, "UHAKIKA REMIX" YA IBRAAH FT. ZUCHU IMEFIKIA MATARAJIO YA MASHABIKI? πŸ”₯

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu na mashabiki wa muziki wa Afrika Mashariki, hatimaye Ibraah na Zuchu wameachia rasmi "Uhakika Remix". Kazi hii haijaja tu k**a remix ya kawaida, bali k**a ushirikiano ambao wengi hawakuwa wameutarajia.

Kwa muda mrefu, Ibraah na Zuchu wamekuwa wakilinganishwa kutokana na kuibuka kwenye muziki karibu kipindi kimoja. Ingawa Zuchu alipata mafanikio makubwa kwa haraka na kujijengea nafasi kubwa kwenye soko la muziki, hilo halijawahi kuondoa ukweli kwamba Ibraah ni msanii mwenye kipaji na uwezo mkubwa wa kutengeneza nyimbo zenye ubora.

Kuhusu remix yenyewe, ni kazi iliyofanyika vizuri. Hata hivyo, k**a ilivyo kwa nyimbo nyingi zinazopata remix, original bado ina nafasi yake ya kipekee na itabaki kuwa kumbukumbu ya kwanza kwa mashabiki wengi.

Kilichovutia zaidi ni verse ya Zuchu. Ameongeza ladha mpya na nguvu tofauti ambazo hazikuwepo kwenye toleo la awali, jambo lililoifanya remix isisikike k**a kurudia tu wimbo uleule. Pia video imeongezea thamani ya kazi hii kwa ubora wake.

Mitandaoni, hasa kwenye YouTube, maoni ya mashabiki yamegawanyika. Wapo wanaosema Zuchu ameibeba remix hii, huku wengine wakiamini Ibraah bado ameonyesha kiwango chake cha juu. Lakini jambo moja ambalo wengi wanakubaliana nalo ni kwamba wote wawili wamefanya kazi nzuri na wametoa remix yenye ubora.

Kwa ujumla, "Uhakika Remix" imeonyesha kuwa ushirikiano mzuri unaweza kuipa nyimbo maisha mapya bila kupoteza ubora wa original.

Je, wewe umeisikiliza? Unaionaje verse ya Zuchu? Je, ameongeza thamani kwenye wimbo au bado unaamini original ndiyo bora zaidi?

16/06/2026

My confidence after watching the poligamist

πŸ‡°πŸ‡ͺ

.niffer._  Aliandika Hivi kupitia Ukurasa wake WA Instagram THIS GUY AISEEEE NILKUA SJAWAH MZINGATIA ILA HUYU πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜Ή aaa...
05/06/2026

.niffer._ Aliandika Hivi kupitia Ukurasa wake WA Instagram
THIS GUY AISEEEE NILKUA SJAWAH MZINGATIA ILA HUYU πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜ΉπŸ˜Ή aaaaaagh babaaaaaaa

NIMESAHAU IPI HAPO??

Leo zilkua zinaniplay tu nikasema hatari huyu jamaaaa anajuaπŸ™Œ alaf hazina kelele hata kidogo yaaan unagugumia ndan kwa ndan😹🀣

Je wewe mwaka Gani ndo ulianza kumpea umakini Wa kumsikiliza Hadi ukawa shabiki Yake ?

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, Ali Kiba ameachia rasmi wimbo wake mpya UTANIONEA akimshirikisha Harmonize.K**a umes...
05/06/2026

Baada ya kusubiriwa kwa muda mrefu, Ali Kiba ameachia rasmi wimbo wake mpya UTANIONEA akimshirikisha Harmonize.

K**a umesha sikiliza

Je, nani ameua zaidi kwenye verse yake? πŸ”₯

Address

Githurai 45
Nairobi
00100

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Iambanzaphd posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share