Ngesh Wa Vasha

Ngesh Wa Vasha Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ngesh Wa Vasha, Arts and entertainment, Nairobi.

hii baridi haitaki chai wala jiko 🙈🙈🤫🤫inataka kasomething 😁😁
15/03/2024

hii baridi haitaki chai wala jiko 🙈🙈🤫🤫inataka kasomething 😁😁

Mwenye alichora hii Tafuta lawyer😂😂
12/03/2024

Mwenye alichora hii Tafuta lawyer😂😂

Unaingia na mbele na kumbe dere anataka uingie na nyuma🤤♥️😹😹
12/03/2024

Unaingia na mbele na kumbe dere anataka uingie na nyuma🤤♥️😹😹

K**a hujui kuiosha vizuri itaanza kunuka na hata inaeza haribu chai. Muoshe thermos vizuri🙌🤣
10/03/2024

K**a hujui kuiosha vizuri itaanza kunuka na hata inaeza haribu chai. Muoshe thermos vizuri🙌🤣

Beshte yangu hapa amesema nimtaftie bwana😋
08/03/2024

Beshte yangu hapa amesema nimtaftie bwana😋

The Funny thing about me is that i dont read comments😂😂💔Mnanitusi kwa comments na inbox mnanikatia na kuniomba rwabe, ni...
03/03/2024

The Funny thing about me is that i dont read comments😂😂💔Mnanitusi kwa comments na inbox mnanikatia na kuniomba rwabe, nimewasoma sana Nyinyi,,anyway i promise from Next week nitavaa vizuri,, niende photoshoot,niwatolee ngoma. Najua hata nkipost "i love you all" Utaskia mwingine akicomment eti we dont want your love💔💔😂Kenyans are Funny creatures!!!

Hata kwa giza kijiko haisahau sahani ya mboga  labda ukifunika sahani🤣🤣🤣
02/03/2024

Hata kwa giza kijiko haisahau sahani ya mboga labda ukifunika sahani🤣🤣🤣

Mimi mpira ukitoka inje sirudishangi ndani tena ni kazi ya goal keeper kuishikilia🤣💔
02/03/2024

Mimi mpira ukitoka inje sirudishangi ndani tena ni kazi ya goal keeper kuishikilia🤣💔

Ruth K wacha kiherehere,umejifungua tu juzi na uko all over unatembea, hadi unapikia Mulamwah kumfurahisha.Mwanamke akiz...
02/03/2024

Ruth K wacha kiherehere,umejifungua tu juzi na uko all over unatembea, hadi unapikia Mulamwah kumfurahisha.Mwanamke akizaa anafaa kukaa chini atulie kwa miezi tatu ivi, hafai kutembea tembea sana, inafaa atulie apone vizuri, sehemu za siri zirudi tight vizuri ndio aanze kufanya kazi.Lakini ukianza kutembea tembea na kufanya kazi ,hewa itaingia huko ndani na utanyambaaa sana, na hio si k**a mnyambo ya kawaida, huwa haiishi.Hapo Mulamwah atakuwacha, rohosafi.Kwa hivyo ambia Mulamwah akutafutie Mfanyikazi akuwe anafanya izo kazi, wewe tulia .Nakupenda ndio maana nimekuambia hii.

Nunua tu chapo mbili, kuna maharagwe moto  nimekuwekea  ya rosecoco 😂🙌😋
02/03/2024

Nunua tu chapo mbili, kuna maharagwe moto nimekuwekea ya rosecoco 😂🙌😋

Najua mtasema ni chuki!!! But Nawaambia tu Mungai Eve na Trevor Wamewaset up vibaya sana,,Watakua na channels mbili kubw...
01/03/2024

Najua mtasema ni chuki!!! But Nawaambia tu Mungai Eve na Trevor Wamewaset up vibaya sana,,Watakua na channels mbili kubwa kisha warudi tena after one year waseme wamerudiana hii ni Kenya na Tunajua Hizi Kiki ni Ujanja tu za kuongeza pesa kwenye account.

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ngesh Wa Vasha posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share