Wangu Kanya Gatune Inooro

Wangu Kanya Gatune Inooro Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wangu Kanya Gatune Inooro, Show, Nairobi.

27/05/2026

Kosa uchekwe.... Kanya Gatune only on Inooro TV

27/05/2026

Kesho isikupite .... Kanya Gatune only on Inooro TV

Lakini tukisema tu ukweli......si Haki na Murathime walikua wana match.  Ama ndio inaitagwa aje? Hivi ndio boy child hug...
26/05/2026

Lakini tukisema tu ukweli......si Haki na Murathime walikua wana match. Ama ndio inaitagwa aje? Hivi ndio boy child hugeuziwa dame akishakua working class!! Ebu leteni maoni


Na hivi ndio sisi huchapa job. Simnaona Haki amefurahi sasa.
23/05/2026

Na hivi ndio sisi huchapa job. Simnaona Haki amefurahi sasa.



Wadauu.....tuko jikoni tena tukiwapikia ingine Mwejeje. Station ni inooro kipindi ni Kanya Gatune.
22/05/2026

Wadauu.....tuko jikoni tena tukiwapikia ingine Mwejeje. Station ni inooro kipindi ni Kanya Gatune.


21/05/2026

Let's stay tuned for an amazing show

20/05/2026

Kweli mama ni mama tu. Huyu lazima angenitafuta? Alijua aje kule nilikua nimeenda? Ebu tuwatch kesho tujue. Haka ni k**a ka kachero kadogo.

Leo katika 1..2..1..2....zangu nikaona tu jumper nikasimama kubuy....kumbe nanunulia fan wa Kanya Gatune. Carol anajua s...
20/05/2026

Leo katika 1..2..1..2....zangu nikaona tu jumper nikasimama kubuy....kumbe nanunulia fan wa Kanya Gatune. Carol anajua story ya Kanya hadi pale imefika. Asante sana for watching and loving us.

Yani huyu kijana alikua ananichekesha kumbe ni mtoto wangu alikua ananyemelea! Sasa kwani kunaendaga aje? Aliachwa aje n...
20/05/2026

Yani huyu kijana alikua ananichekesha kumbe ni mtoto wangu alikua ananyemelea! Sasa kwani kunaendaga aje? Aliachwa aje na lini na Haki akachukuliwa? Tuendelee kuona Kanya Gatune tujue.

tv

Bossy akienda k**a hajawalipa na hamjui kule ameenda...na wale ameacha hakuna mtu anataka kuongea story ya mshahara, hap...
18/05/2026

Bossy akienda k**a hajawalipa na hamjui kule ameenda...na wale ameacha hakuna mtu anataka kuongea story ya mshahara, hapa ndio watu husema ni Mbaaya! Ama ni T for tough? Watu hufanya??

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wangu Kanya Gatune Inooro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category