Kisiwa Cha Burudani, Mapenzi Na Simulizi

Kisiwa Cha Burudani, Mapenzi Na Simulizi Mapenzi, nyimbo za kufariji, hisia na hadithi za kusisimua, mahali ambapo kuna utatuzi wa changamoto za kimaisha. BEST AND SUITABLE FOR EVERYONE.

Burudani(entertainment)

11/02/2026

Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ twaja Azam Complex Stadium on 14th valentines day kuwavua nguo huko mbele ya wakwe zenu tuona k**a mtasingizia tena uwanja.

Kauli yake Levis Nabiswa Wanjala.

โœ…๏ธ Navakholo is a home of Super talents. โœ…๏ธ Guehi to leave Crystal Palace. โœ…๏ธ Arsenal will win the Premier League this s...
13/01/2026

โœ…๏ธ Navakholo is a home of Super talents.
โœ…๏ธ Guehi to leave Crystal Palace.
โœ…๏ธ Arsenal will win the Premier League this season
Levis Nabiswa Wanjala

Navakholo Sub-County is a home of super talents.Arsenal will win the Premier League. Guehi will leave Crystal Palace.

20/12/2025
18/12/2025

Big shout out to my newest top fans! Habasi Omari, Jonnes Mogaka, Irakoze Vava D'or, Betina Elie, Jacob Katiwa, Evans Avn, Manase Lugale, Sport Stories, Brown Abdii, RAYvnny, Muhammad Shuaibu, Elisha Titii, Dan Dan, Louis Tdm Nsengiyumva, Elie BM, Francis Njorogek, Kaga'bo Aimรฉ, Tyson Hans, Samiri Sadm, Ambwene Steven, Andawile Mwakapila, Mkuda Joseph, Robert KB, Riziki Ozlem, Frank Mpoll, Alexer Syelah, Jackson Nabibia, Dieudonnรฉ Ntirampeba, Sรฉka Offiicial, Abdallah Sakwa, Sonko Mike, Alhaji Msangi, Hello ussabihi

๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—œ๐—”๐—ก ๐—ก๐—”๐—ฆ๐—”๐—ž๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—ข๐—ž๐—›๐—” (๐—ก๐—”๐—ฉ๐—”๐—ž๐—›๐—ข๐—Ÿ๐—ข)Vivian Nasaka Makokha alizaliwa mnamo tarehe 19 Desemba 1999 kijiji cha Siyombe, wilaya...
01/12/2025

๐—ฉ๐—œ๐—ฉ๐—œ๐—”๐—ก ๐—ก๐—”๐—ฆ๐—”๐—ž๐—” ๐— ๐—”๐—ž๐—ข๐—ž๐—›๐—” (๐—ก๐—”๐—ฉ๐—”๐—ž๐—›๐—ข๐—Ÿ๐—ข)

Vivian Nasaka Makokha alizaliwa mnamo tarehe 19 Desemba 1999 kijiji cha Siyombe, wilaya ya Navakholo, Kaunti ya Kakamega, Kenya.

Anacheza soka kwa nafasi ya beki (full-back) โ€“ hasa beki wa kulia au upande wa kulia wa ulinzi.

Kabla ya kwenda nje ya nchi, alicheza kwa klabu ya ndani ya Kenya, Vihiga Queens.

Mnamo Septemba/Oktoba 2022 alisaini na klabu ya Turkey, Hakkarigรผcรผ Spor, na kuhamia kucheza ligi ya wanawake huko.
Klabu hiyo inapatikana katika mji wa Hakkari nchini Uturuki.

Nasaka amekuwa sehemu ya timu ya taifa ya wanawake ya Kenya, yaani Harambee Starlets.

Katika mechi za kushindana za kimataifa, alijiunga na kikosi cha nyota wa Kenya dhidi ya Zambia katika mashindano ya kuwania tiketi ya Olimpiki.

Aidha, alianza kucheza dhidi ya timu ya Uganda na matajiri wa michuano ya forodha ya CECAFA.

Aliteuliwa kwenye kikosi cha mwaka 2021 na Kenya Footballers Welfare Association (KEFWA) kwa nafasi ya beki wa kulia, kwa ajili ya utendaji wake katika ligi ya wanawake nchini Kenya.

Kuongezeka kwa wachezaji wa wanawake wa Kenya kwenda kucheza nje ya nchi kunamfanya kuwa mmoja wa mfano wa kuigwa kwa wachezaji wa soka ya wanawake nchini.

Ikumbukwe kuwa, Vivian Nasaka Makokha amechangia pakubwa sana kwa timu ya taifa ya Kenya ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช ya wanawake almaarufu Harambee Starlets kufuzi michuani ya WAFCON zitakazofanyika mwakani nchini Morocco.

Hongera kwa Vivian Nasaka kwa Kuwakilisha Navakholo vyema.

Makala haya yameandaliwa naye Levis Nabiswa Wanjala mwanahabari wa michezo.

๐—Ÿ๐—ฒ๐˜ƒ๐—ถ๐˜€ ๐—ก๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ท๐—ฎ๐—น๐—ฎ
๐™Ž๐™ฅ๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™จ ๐™…๐™ค๐™ช๐™ง๐™ฃ๐™–๐™ก๐™ž๐™จ๐™ฉ

๐Œ๐š๐ฃ๐จ๐ง๐ณ๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐…๐š๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐ง๐ฒ๐š๐ง๐ฃ๐ฎ๐ข ๐Ÿ˜ญSiku ya jana timu ya AFC Leopards ilipokuwa ikisafiri kushiriki mchuano wa Ligi kuu ya...
24/11/2025

๐Œ๐š๐ฃ๐จ๐ง๐ณ๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐…๐š๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐ง๐ฒ๐š๐ง๐ฃ๐ฎ๐ข ๐Ÿ˜ญ

Siku ya jana timu ya AFC Leopards ilipokuwa ikisafiri kushiriki mchuano wa Ligi kuu ya taifa Kenya, mechi kati ya AFC Leopards dhidi ya Kariobangi Sharks uwanjani Kasarani, wing'a wa AFC Leopards James Kinyanjui alipokea habari mbaya na ya kutamausha kupitia rununu kuwa dadake ameaga dunia.

Kinyanjui moja kwa moja bila kusita akawaarifu benchi la kiufundi akiwemo mkufunzi wake Fred Ambani kuhusu habari hizo za tanzia.

Mkufunzi wa Ingwe alimweleza Kinyanjui kuwa yuko radhi kutomshirikisha Kinyanjui kwenye mechi hiyo ya ligi na hata kumpa ruhusa arejee nyumbani kwa minajili ya kushughulikia msiba ulioisibu familia kwa kuaga kwa dadake ila Kinyanjui alikataa na kusisitiza kuwa yuko radhi kucheza mchuano huo Kati ya AFC Leopards na Kariobangi Sharks.

James Kinyanjui alishiriki mechi hiyo na akawa na mchezo wa kufana na hata kuchangia pakubwa bao la AFC Leopards. Alizalisha goli la wanachui lililofungwa na Victor Omune mchezo ulioishia sare ya bao moja kwa moja (1-1).

Makiwa kwa familia ya James Kinyanjui kwa kumpoteza dada, na familia nzima ya AFC Leopards kwa ujumla inatuma rambirambi kwa wakati huu mgumu na wa majonzi๐Ÿ•Š ๐Ÿ™.

๐—Ÿ๐—ฒ๐˜ƒ๐—ถ๐˜€ ๐—ก๐—ฎ๐—ฏ๐—ถ๐˜€๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ท๐—ฎ๐—น๐—ฎ
๐™Ž๐™ฅ๐™ค๐™ง๐™ฉ๐™จ ๐™…๐™ค๐™ช๐™ง๐™ฃ๐™–๐™ก๐™ž๐™จ๐™ฉ

Bingwa ametua msimbazi, kwa mujibu wa taarifa yake; Levis Nabiswa Wanjala.
02/08/2025

Bingwa ametua msimbazi, kwa mujibu wa taarifa yake; Levis Nabiswa Wanjala.

Mshambulizi matata wa timu ya Taifa ya Kenya, ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Harambee Stars Mohamed Bajaber ajiunga rasmi na Simba SC Tanzania.

Mali ya Simba,

25/06/2025
Happy birthday to media personality Levis Nabiswa Wanjala.
17/05/2025

Happy birthday to media personality Levis Nabiswa Wanjala.

Meet Billionaire Mtaalam James Mburu, the man who owns Jambu TV , Mukeu TV and Karindi TV.He also owns Jambu Radio and o...
12/05/2025

Meet Billionaire Mtaalam James Mburu, the man who owns Jambu TV , Mukeu TV and Karindi TV.

He also owns Jambu Radio and operates a YouTube channel named J. Mburu Official .
This guy is everything in one.

In all his TV's and Radio's, heโ€™s the:

1. CEO
2. Director
3. Producer
4. Reporter / Presenter
5. DJ
6. Artist
7. Pastor
8. Doctor
9. Herbalist

And when heโ€™s not on air healing people with words, heโ€™s selling water through his company Mukeu Water, where heโ€™s also the:

1. CEO
2. Marketing guy
3. Accountant
4. Cleaner
5. Sometimes even the delivery guy

The funniest part? Sometimes he talks on his TV station for hours without realizing the audio is not working.

One man, 20 careers. Ata AI haiwezi.

Be like J. Mburu

Address

Tanga
Nairobi
35091

Opening Hours

Monday 08:30 - 17:00
Tuesday 08:30 - 17:00
Wednesday 08:30 - 17:00
Thursday 08:30 - 17:00
Friday 08:30 - 17:00
Saturday 08:30 - 17:00
Sunday 14:00 - 16:30

Telephone

+254704058799

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kisiwa Cha Burudani, Mapenzi Na Simulizi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share