African Blackstar

African Blackstar Blackstar �

8~~~9*SEHEMU YA 08*💔MAMA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA MCHUMBA WANGU Jenny alibaki amejishika shavuni akiugulia maumivu baada ...
04/10/2025

8~~~9
*SEHEMU YA 08*💔
MAMA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA MCHUMBA WANGU
Jenny alibaki amejishika shavuni akiugulia maumivu baada ya kuzabwa kofi asilolitarajia kutoka kwa baba yake,

"Safi sana, hayo ndiyo mambo sasa" mwanamama Sofia aliongea kimoyo moyo huku akitabasamu

"Mjinga kabisa wewe, unataka kuishi k**a upo kwako hapa, nitakurudisha kwa mama yako kule ukakae nae"

"Samahani baba" Jenny aliongea kwa sauti ya chini, akiwa ameinamisha uso

"Basi baba Jenny msamehe binti yako amekosea"
"Potea mbele ya uso wangu!" aliambiwa kwa ukali akatikisa kichwa na kuondoka taratibu kuelekea chumbani kwake huku machozi yakimlenga lenga machoni....

Upande wa pili Henry alikuwa bado amelala kitandani chumbani kwake, akijigeuza geuza kulia na kushoto huku akiwa amejifunika shuka gubi gubi tangu kwenye miguu mpaka kichwani, mlango wake ukagongwa

"Nani?" aliuliza kiuchovu lakini hakujibiwa, ukaendelea kugongwa huku yeye akijigeuza geuza na hatimae mgeni mwenyewe hakusubiri kufunguliwa mlango ambao kumbe haukufungwa, akaingia taratibu, alikuwa ni rafiki yake mwingine

"Oya umelala mpaka saa hizi, una maisha mazuri sana?"
"Hamna nimechoka tu aisee"
"Kilichokuchosha nini demu nini?"

"Hamna jimama moja hivi nimegaragara nalo usiku mzima"
"Jimama tena na siyo Jenny ninaemfahamu mimi?"
"Nilikuwa na mama yake"

"Mama yake tena, kulikoni?"
"Stori ndefu, niambie mzee ume..." kabla hajamalizia sentensi yake akiwa pale pale amelala kitandani, mlango uligongwa tena, rafiki yake akaufuata kwenda kuufungua na kukutana na mwanadada Jenny aliyekuwa anaelekea kazini, akipitia kwa mchumba wake huyo kumuona baada ya kuona simu anazompigia na meseji zake hazijibiwi

"Karibu shem"
"Asante shem, za leo?"
"Salama"
"Sijui Henry yupo ndani?"
"Eeh yupo karibu, pita tu ndani"
"Asante" Jenny alijibu kwa sauti ya chini na kuingia taratibu huku Henry akiwa anatazama amjue mgeni huyo aliyeingia chumbani kwake alipoona ni Jenny akakaa kitako huku uso ukimbadilika kwa hasira

"Kwanini umemruhusu aingie ndani?" alimwuliza rafiki yake
"Sasa ulitaka nifanyaje Henry, kwani si shemeji yangu au, kuna shida gani kwani?"

"Ungeniuliza kwanza"
"Siyo kosa langu" rafiki yake alijibu huku Jenny akishangazwa na maneno hayo ya mpenziwe,

"Kwa hiyo kuingia chumbani kwako nahitaji ruhusa Henry?"
"Ndiyo utaratibu mpya, kilichokuleta?"

"Umepatwa na nini Henry mbona kauli zako sizielewi elewi, simu zangu hupokei na meseji haujibu, nilikuja hapa usiku kujua una tatizo gani sijakukuta naambiwa umeondoka na mwanamke, huyo mwanamke ni nani?"

"Unauliza yote hayo ili?"
"Nipewe majibu, nini shida?"
"Shida siyo mimi, shida ni wewe Jenny, siku hizi unalewa, unalala kwa mwanaume hulali nyumbani sasa unadhani shida ni nani kati yangu mimi na wewe?"

"Unaongea kuhusu nini, mimi nimefanya lini mambo ya ajabu hayo na nani aliyekuambia ujinga huo?"

"Unadhani mimi mjinga mpaka nimtaje aliyeniambia habari hizo, wewe elewa tu kuwa najua mambo mengi sana ambayo wewe huyajui"

"Hata sielewi unachokizungumza Henry"
"Utanielewa tu, naomba mlango ulioingilia ndiyo huo huo utokee"

"Henry, makosa ufanye wewe halafu unihukumu mimi, kosa langu ni nini kwani?"

"Oi jamaa yangu msikilize basi shem mbona ni mdada mmoja yuko poa sana hana mambo mengi?" alitetewa na rafiki wa Henry

"Mimi simtaki sasa k**a wewe unamtaka freshi tu"
"Ndo maneno gani hayo rafiki yangu?"
"Henry unankvunjia heshima sasa, nimekusikiliza na nimechoka kuendelea kuvunjiwa heshi..."

"Samahani, wangu wa ubani ananipigia kidogo hapa" alimkatisha Jenny na kupokea simu huku akiweka sauti ya juu (loud speaker) ili wote wasikie

"Babe umeamkaje?" sauti ya mwanamke ilisikika ikiongea kwa kudeka
"Nimeamka vizuri tu nambie mamy?"
"Nimekumisi tu natamani tuonane k**a jana"
"Waaoooh hata mimi nimekumisi pia tena usinikumbushe zile raha za jana, za moto sana, mwanamke umeniweza wewe" Henry aliongea kwa makusudi huku akimtazama Jenny ambae alikuwa ameshikwa na hasira na machozi yanamlenga lenga

"Sawa Henry, asante, nashukuru sana, nashukuru" Jenny aliongea huku akijifuta futa machozi akageuka kuanza safari ya kutoka chumbani humo

"Shem Jenny, subiri kwanza" rafiki wa Jenny alijitahidi kumzuia
"Niache shem imetosha" alimzuia huku akitoka na kuubamiza mlango

"Umefanya nini sasa Henry mbona unakua k**a haujakua kiakili vile?"
"Dawa ya moto ni moto kaka" alijibu huku akikata simu ya mwanamama Sofia ambayo ilikuwa hewani bado, rafiki yake akatikisa kichwa kumsikitikia....

*SEHEMU YA 09*💔

Jenny alifika kwenye kibarua chake kipya tayari kuanza kazi, moja kwa moja akaongoza mpaka ofisini kwa meneja akabisha hodi na kukaribishwa ndani alimomkuta kwenye kiti chake k**a kawaida anaongea na simu kwa sauti ya chini ikionyesha anazungumza na mwanamke huku akizunguka zunguka kwenye kiti chake,

"Sema" alimwambia alipomaliza kuongea na simu
"Habari ya saa hizi?"
"Njema kabisa mrembo, karibu"
"Ndo nimekuja kuanza kazi"
"Oooh sawa nenda kaanze"
"Bado sijaelewa utaratibu wa hapa na ofisi yangu ni ipi?"

"Oooh utaratibu ni mdogo tu, ni wewe kuchukua sare zako za wahudumu na kuzivaa kisha kwenda kuungana na wenzako kuhudumia wateja, simple tu"

"Lakini bosi, kazi niliyokuja kuomba mimi siyo ya kuhudumia wateja ila ni ya utunza fedha, k**a kumbukumbu zako ziko vizuri na ndivyo jana ulivyoniahidi nikija leo nianze kazi"

"Kwa hiyo hutaki kazi?"
"Hapana siyo kwamba sitaki kazi ila..."
"Ila nini?"

"Sawa nimekuelewa"
"Nenda huko kaulizie sare zilipo uvae uanze kazi, mengine tutaongea baadae"

"Sawa, samahani" Jenny alijibu kiunyonge na kugeuka taratibu akiondoka huku bosi huyo akimsindikiza kwa macho ya uchu mpaka alipotoka ofisini kwake humo, kwenye korido akakutana na muhudumu aliyevalia sketi fupi ili juu ya magoti tena yenye mpasuo, mapaja yote yakiwa nje, akipita

"Dada samahani" alimsimamisha
"Shida yako?" mwanadada huyo alimwuliza

"Naulizia zinapopatikana sare zenu za kazi, bosi kaniambia nami nivae" Jenny aliongea, mwanadada huyo akamtazama kwa kumpandisha na kumshusha kabla hajamjibu chochote

"Mimi nikadhani una kitu cha maana cha kuniambia, sare si uzitafute" alijibiwa kwa nyodo

"Sasa na wewe Tunu kibaya kipi, si unamwelekeza tu mtu anakuelewa kuliko kuanza kumchamba dada wa watu mgeni?" muhudumu mwenzake alimshangaa alipowakuta

"Mwelekeze wewe kwani huna mdomo au?" alimjibu na kuwaacha

"Usijali shoga yangu ana mastress yake tu yule, ulikuwa unaulizia sare?"
"Ndiyo dada, shikamoo"

"Marahaba, naitwa Farida, wewe unaitwa nani?"
"Naitwa Jenny"

"Ooh Jenny, jisikie huru kabisa, na twende nikakuonyesha zilipo sare ukabadilishe uanze majukumu yako"

"Asante dada" walishikana mikono wakaondoka kuelekea kwenye chumba cha kubadilishia nguo, walipoingia alimpa sketi na blauzi nyeupe akavaa, sketi ikiishia juu ya magoti, mapaja yote yakiwa wazi

"Umependeza sana?"
"Mh siwezi fupi sana"

"Aaah mbona ndo nzuri na hakuna nyingine na ndo sare ndo hizo"
"Mh mimi nguo za aina hii sivaagi, siziwezi"
"Ndo ujaribu, vaa tu kwani shida iko wapi, usichokizoea unajifunza" Farida alimwambia, Jenny akaanza kutembea kwa wasiwasi na taratibu kutokana na sketi hiyo fupi na ya kubana iliyomshika mwili wake, hakuwa na namna zaidi ya kukubaliana na hali halisi na muda huo huo simu yake iliita akapokea na kumuomba radhi Farida kisha akaenda pembeni ili kuzungumza, alikuwa ni rafiki yake aliyemuelekeza kwenye kazi hiyo

"Vipi Jenny, kimya shoga yangu au ndo ushapata tena kazi niliyokuunganisha, umuhimu sina?"

"Mh ndo maneno gani hayo wakati tangu jana usiku mpaka leo asubuhi nimekutafuta lakini hupatikani kwenye simu jamani?"

"Halafu kweli, simu yangu iliingia maji hapa penyewe, vipi kazi inaendaje?"

"Kazi yenyewe uliyoniambia mbona siyo yenyewe jamani, nimekuwa muhudumu tena?"

"Muhudumu, hajakuweka kwenye uhasibu?"
"Wewe hukuongea nae labda"
"Atakuweka tu, wewe zuga zuga kidogo si unajua tena, kwani chuo hujaenda eeh?"
"Sijaenda chuo na sitoenda tena tulishamaliza mitihani ilikuwa ni kujisomea somea tu na kwa sababu sikuwa na ishu"

"Sasa mambo si ndo hayo, poa nitakucheki baadae wangu nina kazi hapa naimalizia"

"Sawa best ila asante kwa connection hata hii niliyopata"
"Usijali Jenny" rafiki yske alijibu na kukata simu

"Umemaliza twende zetu?" Farida alimwuliza alipomaliza kuongea na simu

"Nimemaliza dada twende" waliongea wakiongozana taratibu huku Jenny akitembea taratibu na kwa kunyata kutokana na sketi iliyoishia mapajani ambayo pia ilimbana, walipokatiza karibu na ofisi ya meneja, Farida akamshika mkono kumzuia ili wasimame

"Kuna nini dada Farida?"
"Sikiliza vizuri" alimwambia wote wawili wakatega sikio

"Uuuuuwiii meneja jamani jamani mh taratibu!" walisikia mayowe ofisini ya Tunu akilalamika kimahaba

"Mtoto mtamu sana wewe, ooosh aaaah!" meneja nae alisikika ikionekana walikuwa bize kunyanduana ndani ofisini

"Sitaki kuzunguka kwa wateja nataka nikae nihesabu hela tu"
"Hiyo imeisha Tunu, tukitoka hapa tu unaanza kazi, inua mguu kidogo ooooh yeaaaah" Meneja aliongea huku akiguna na mihemo ikiendelea kati yao

"Umesikia hiyo Jenny, hapo sahau kuhusu kuwa muhasibu, sahau kabisa!" alimwambia

"Ooooopppsss!" Jenny akashusha pumzi aliposikia habari hiyo kuwa tayari kuna mtu anatoa kitu ofisini ili kuipata nafasi hiyo hiyo ambayo yeye ndiye ameahidiwa.

ITAENDELEA...

*SEHEMU YA 07*💔MAMA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA MCHUMBA WANGU Mwanadada Jenny kwa bahati nzuri au mbaya hakuwa ametazama mla...
04/10/2025

*SEHEMU YA 07*💔
MAMA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA MCHUMBA WANGU
Mwanadada Jenny kwa bahati nzuri au mbaya hakuwa ametazama mlangoni wakati alipofunguliwa na Henry, alikuwa amegeuka pembeni bize akiyaweka sawa mataulo hayo bila kumtazama mtu aliyemfungulia mlango, Henry akawahi na kuufunga kabla hajaonwa na wakati huo huo Jenny akageuka kutazama mlangoni akiwa ameshachelewa tayari

"Mbona amefungua na kufunga mlango huyu mteja, kulikoni?" alijiuliza mwenyewe na kugonga tena kwa mara nyingine

"Unahitaji nini?"
"Samahani kuna mataulo nimepewa hapa niwaletee"
"Hatuna haja nayo, yarudishe tu ulipoyatoa" Henry alijibu kwa kukaza sauti akiifanya nzito ili asijulikane

"Sawa" Jenny alijibu huku akigeuka nyuma kurudi alipotoka na kuishia kuguna tu, wakati huo chumbani Henry alishusha pumzi ya wasiwasi baada ya kunusurika kukutwa chumbani, gesti na Jenny mpenziwe

"Kulikoni, ni nani kwani mbona unashusha pumzi namna hiyo?"

"Ni Jenny"
"Jenny anafanya nini hapa?" mwanamama Sofia alishtushwa kusikia taarifa hiyo"
"Hata mimi sijui nimemkuta ameshika mataulo sijui anayapeleka wapi?"

"Ayapeleke wapi, huyo lazima yupo na mwanaume wake humu gesti, kazuga tu baada ya kuona amekosea chumba ndo akatafuta gia, hajakuona?"

"Hapana hajaniona, Jenny Jenny Jenny?" Henry alirudia jina la mwanadada huyo mara tatu kwa msisitizo na kwa masikitiko huku akitikisa kichwa, uso akiukunja kwa hasira

"Ndo hivyo au huniamini nachokwambia, ila ngoja nimpigie sasa maana hata mimi bado sijaamini k**a ni yeye" mwanamama Sofia alichukua simu yake na kumpigia Jenny ikaita na kupokelewa kisha akaweka sauti ya juu (loud speaker)

"Jenny"
"Shikamoo mama"
"Marahaba upo wapi kwani?"
"Nipo nyumbani"
"Mh upo nyumbani kweli mbona kelele kelele nazisikia hapo?"

"Kusema kweli mama nimetoka nimekuja sehemu mara moja kutazama kazi"
"Kazi saa hizi usiku, kazi gani?"
"Nitakuambia kesho mama"
"Jenny usinitibue nikaonekana mbaya kwa baba yako, kumbuka mimi ndo nakaa na wewe?"

"Najua mama, nitakueleza nikirudi"
"Sawa na unarudi saa ngapi?"
"Sijajua ila sitokawia"

"Basi sawa, mkubwa wewe sina haja ya kukuchunga chunga k**a msichana mdogo" mwanamama huyo alijibu na kukata simu

"Umeniamini sasa k**a ni yeye?"
"Nimekuamini Henry, lazima yupo na mwanaume wake yule" mwanamama Sofia aliongea kauli ambayo iliendelea kumkera Henry aliyebaki amejishika kiuno kwa hasira

"Basi imetosha"
"Njoo basi tupumzike" mwanamama huyo alimuita yeye akiwa hana nguo amejifunika shuka tu, Henry nae akavua suruali yake na kubaki mtupu bila nguo kisha akapanda kitandani taratibu na kujifunika ndani ya shuka na mwanamama Sofia..

"Sijui mama amenifikiriaje, na kwanini amenipigia saa hizi kuuliza niko wapi, kuna mtu anayenifahamu nini aliyeniona?" Jenny alijiuliza huku akiangaza angaza macho kwa wasiwasi....
...........

Kulikucha mapema asubuhi siku nyingine tena, Jenny alikuwa chumbani kwake anauchapa usingizi

"Jenny, Jenny!" alitikiswa tikiswa akageuka kiuchovu na kumwona mwanamama Sofia
"Abee mama"
"Baba yako anakuita, anataka atoke, ana maongezi na wewe"
"Nakuja mama"
"Fanya haraka" mwanamama Sofia alimsisitiza huku akitoka chumbani, Jenny akaamka kiuchovu na kushuka kitandani akiwa amevaa gauni la kulalia kisha akatoka taratibu kuelekea sebuleni akimkuta baba yake na mama huyo wa kufikia wakiwa wamekaa pamoja kwenye sofa kubwa la watu watatu

"Shikamoo baba, shikamoo mama" aliwasalimia

"Marahaba" mwanamama Sofia tu ndiye aliyeitikia salamu huku baba yake akiwa kimya anamtazama

"Abee baba"
"Jana ulila wapi?"
"Nilirudi baba ila saa nane usiku wewe ulikuwa umeshalala na ufunguo nilikuwa nao nikaogopa kukusumbua"

"Saa nane usiku ulitokea wapi?" mzee Madevu aliinuka taratibu huku akiipandisha vizuri suruali yake

"Safi sana nimeshakuchongea kwa baba yako, kuna jambo nalisubiri litokee tu hapa ili roho yangu isuuzike" mwanamama Sofia aliongea kimoyo moyo

"Kuna kazi nilikuwa naifanya niliitwa nikaanze majaribio baba na...." kabla Jenny hajamalizia sentensi yake hiyo ya kujitetea alishtukia akizabwa kofi zito la shavu lililosikika kwa kishindo kikubwa, PAAAAH!!
ITAENDELEA...

MAMA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA MCHUMBA WANGU*SEHEMU YA 06 Majira hayohayo ya usiku tayari mwanadada Jenny aliwasili kwenye...
04/10/2025

MAMA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA MCHUMBA WANGU
*SEHEMU YA 06

Majira hayohayo ya usiku tayari mwanadada Jenny aliwasili kwenye baa na mgahawa huo mpya uitwao MBELELE INN kwa maelekezo ya rafiki yake kwa ajili ya kuonana na meneja ili aombe nafasi ya utunza fedha 'uhasibu'

Ilikuwa ni baa mpya, kubwa na ya kisasa yenye mgahawa na nyumba ya wageni upande wa pili yaani 'guest house' ikiwa na wafanyakazi hasa akina dada nadhifu katika upande wa wahudumiaji wateja, Jenny alipofika tu aliomba kuelekezwa ofisini kwa meneja wakamuelekeza alibisha hodi na kuruhusiwa kuingia akimkuta meneja huyo kwenye kiti chake cha kuzunguka akiongea na simu aliyemtaka akae kitako, akakaa akisubiri atakapomaliza kuzungumza na simu ndipo waongee

"Karibu"
"Asante habari ya kazi?"
"Njema, nikusaidie nini?"
"Naitwa Jenny ni..."

"Oooh ndiye unayetaka kazi ya uhasibu hapa kwangu?"
"Ndiye mimi bosi"
"Vizuri, kuna mtu ameniambia habari zako, hebu nipe CV zako"

"Hizi hapa bosi" alimpa makaratasi ya CV zake vikiwemo vyeti, meneja huyo akavitazama haraka haraka huku akitikisa kichwa

"Basi sawa" alimrudishia makaratasi yake ya CV huku akitikisa kichwa na wakati huo mlango ukagongwa tena, akamkaribisha mgongaji, alikuwa ni mwanadada muhudumu akiwa ameshika mataulo mawili mikononi

"Bosi"
"Sema!"
"Kuna shida ya mataulo, yameisha yamebaki haya tu mawili na kuna wateja nawapelekea sasa baada ya hapo hakutakuwa na mataulo tena"

"Sasa kwanini yasiende kununuliwa kwani pesa haipo Tunu?"
"Pesa ipo na.."
"Mkabidhi huyu dada hayo mataulo kisha wewe kanunue hayo mapya"

"Sawa bosi" mwanadada huyo alimtazama Jenny na kumkabidhi mataulo hayo mikononi
"Nayapeleka wapi haya mataulo samahani?" Jenny aliuliza
"Chumba namba kumi na saba" alijibiwa na mwanadada huyo ambae alitoka ofisini kisha nae akainuka taratibu

"Kesho utaanza kazi, ila leo saidia saidia kazi za hapa na pale mpaka saa tano tano"
"Sawa bosi, asante" Jenny aliitikia na kutoka taratibu kupeleka mataulo hayo kwa wateja chumbani alikoagizwa...

Upande wa pili ndani ya baa hiyo na mgahawa, iitwayo MBEBELE INN' mwanamama Sofia na kijana Henry mkwewe mtarajiwa walikuwa juu kitandani wakivunja amri ya sita🔞 wote wawili wakiwa watupu bila nguo ambazo zilikuwa zimeanguka chini sakafuni, wakipeana raha kubwa ya dunia hii ambayo haifananishwagi na raha nyingine yoyote tena yenye majina mengi na tofauti tofauti, wengine wanaita utamu, wengine tendo la ndoa, wengine ngono, wengine mapenzi, wengine kunyanduana na majina mengine zaidi ya mia moja na milioni kwa lugha tofauti tofauti

"Uuuuuwiii Henry mmh!" mwanamama Sofia alilalamika akiwa amelala chali mapaja ameyapanua na kijana huyo amepita katikati ya mapaja yake akiwa kwa juu akimshugulikia huku midomo yake akinyonya matit🙄 makubwa ya mwanamama huyo mkwewe mtarajiwa bila aibu

"Oooosh aaah!" Henry alilalamika kwa sauti ya kukoroma huku akikunja uso kumaanisha anakaribia mwisho wa safari baada ya purukushani hizo za dakika kadhaa, na ni kweli hakukawia, alishusha mzigo ndani ya kisima' cha mwanamama Sofia huku akitetemeka k**a jenereta linaloisha mafuta, na kumlalia kifuani huku wote wakihema k**a wamekimbizwa na mbwa kichaa baada ya kumaliza kuvunja amri ya sita, Henry akajitupa pembeni nae akilala chali,

"Uuuwii Henry"
"Pole mamy"
"Asante babe, sahau kuhusu Jenny mimi natosha kabisa kumaliza shida zako" mwanamama huyo alimwambia huku akinyoosha mkono na kumshika Jogoo🍆wa Henry akimpapasa papasa

"Nadhani unanitibua zaidi unapolitaja jina la Jenny, unanikosea"
"Samahani, ila chochote unachokitaka kwangu wakati wowote niambie, nimeumia sana kuona upo na Jenny na anakufanyia mambo ya ajabu ajabu kijana mzuri k**a wewe"

"Nimeinjoi sana penzi lako mamy na limenifanya nisahau shida zangu zote, vipi umeinjoi?" alimgeukia

"Nimeinjoi Henry" mwanamama Sofia alimjibu wakitazamana, wakasogezeana midomo na kuanza kunyonyana mate (denda) la kumalizia malizia safari na kupongezana wakati huo mlango uligongwa

"Nani tena huyu?" Henry alijiuliza
"Mbona hatujaagiza chochote?" mwanamama Sofia nae alishangaa
"Ngoja nikatazame" Henry alishuka kitandani taratibu na kuvaa suruali yake aliyoiokota chini bila chochote kisha akaufuata mlango taratibu na kuufungua,

Macho yalimtoka mwanaume huyo alipokutana na mtu asiyemtegemea, ambae hakumtarajia kumuona maeneo hayo na kwa wakati huo, hakuwa mwingine ila ni mwanadada Jenny, mpenziwe, akiwa ameshikilia mataulo mawili mkononi....
ITAENDELEA...

04/10/2025

SEHEMU YA 04*05
MAMA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA MCHUMBA WANGU
Bado msichana Jenny hana amani kabisa kutokana na mpenziwe Henry kutokupokea simu wala kujibu meseji zote za kumuomba radhi alizomtumia, kitendo kilichompa wasiwasi mkubwa mwanadada huyo ambae ilipofika jioni ilibidi atoroke nyumbani kimya kimya na kwenda nyumbani kwa kijana huyo giza likiwa limeshaingia ili akaonane nae bila hata kuaga nyumbani alipomwacha baba yake mzazi, alipofika alikuta chumba cha kijana huyo mpenziwe wa muda mfupi kikiwa kimetiwa kufuli kumaanisha kuwa hayupo ndani ametoka,

"Habari yako dada" alimsalimia mpangaji mwingine jirani na chumba cha Henry aliyekuwa anatoka ndani kwake
"Salama, za kwako?"

"Njema tu, samahani eti huyu kaka wa chumba hiki unaweza kujua ametoka muda gani?"

"Nani Henry?"
"Yeah, Henry"
"Aaamh ametoka muda si mrefu kuna mama amekuja hapa amependeza kweli kweli, nae ndo akajiandaa, wakatoka wote pamoja, usiku huu huu giza likiwa limeshaingia"

"Mama gani ni mama yake au?"
"Hamna siyo mama yake inaonekana ni k**a shangingi fulani hivi maana amevaa gauni fupi na mapaja yote yako nje, kwani wewe ni nani yake?"

"Mimi ni rafiki yake, asante" Jenny alizuga
"Karibu tena" mwanadada huyo alimjibu, akatikisa kichwa na kuanza kuondoka taratibu huku akijikuna shingoni, majibu ya jirani huyo wa Henry yakiwa yamempa wasiwasi na mashaka, akikosa amani

"Henry amekuja kuchukuliwa na mama shangingi, wameenda wapi usiku huu na kufanya nini, na kwanini hapokei simu wala kujibu meseji zangu?" alijiuliza maswali yaliyokosa majibu na kujikuta akiishiwa na nguvu ya kuendelea na safari, akakaa kwenye tairi lililosimamishwa kwa kufukiwa chini....

Ni muda huo huo kijana Henry mpenzi wa Jenny alikuwa baa iliyo na nyumba ya wageni (guest house) pamoja na mama (wa kambo) wa mpenziwe huyo, mwanamama Sofia, wakila na kunywa pamoja huku muziki ukiendelea kupigwa na DJ

"Vipi unapaonaje hapa Henry?" aliulizwa na mama mkwe wake huyo, mtarajiwa
"Pazuri tu"
"Kelele kelele vipi hazikusumbui?"
"Kwanini zinisumbue jamani, mbona muziki mzuri tu mama" Henry alitabasamu huku yeye akila chakula na soda na mwanamama huyo akinywa bia

"Samahani k**a utakuwa umekwazika mimi kunywa bia Henry, yaani hiki kitu nimekizoea sana, sometimes kinanipunguziaga mawazo mawazo mengi mengi"

"Ni starehe yako hiyo wala usijali, kila mtu n starehe yake hapa duniani"

"Onja basi, nikumiminie kwenye glasi?"
"Hapana, situmii kabisa kitu kinachoitwa kilevi"
"Onja kidogo tu jamani kwa ajili yangu tu, hata nusu glasi Henry eeh, yaani ninywe peke yangu tu?"

"Sawa, kidogo tu" Henry alikubali na kutega glasi yake ya soda aliyoimaliza kisha akamiminiwa bia na mwanamama huyo ambae macho yalimlegea wakati akimtazama mpenzi huyo wa bintiye

"Hapo sasa nimekupenda bure Henry, kunywa kidogo tu ukimaliza hiyo basi nafsi yangu itasuuzika kabisa"

"Huyu mama leo nikimuacha salama sidhani, nitakuwa mzembe" Henry aliongea kimoyo moyo wakati akinywa bia hiyo kidogo kwenye glasi huku akiyaangalia mapaja ya mwanamama Sofia kwa kupitia chini ya meza, ambae alionekana ameshaanza kulewa

"Waooooh safi sana hatimae umemaliza, nikuongeze?" alipigiwa makofi

"Hapana sihitaji tena, ni chungu" Henry alijibu huku akiwa amekunja sura na kujifuta futa mdomo

"Kwa sababu hujaizoea ila ukiizoea zoea basi utaiona tamu na kila wakati utatamani kuinywa nakwambia na oooooh" alipiga miayo kabla hajamaliza kuzungumza huku akijinyoosha nyoosha mikono na kurembua macho

"Upo sawa?"
"Nipo sawa Henry, usingizi tu!"
"Oooh basi ngoja nikupeleke nyumbani ukapumzike"
"Nyumbani leo siendi nimeshaaga kuwa nalala kwa rafiki yangu baada ya kitchen party"

"Sasa utalala wapi?"
"Si kuna vyumba humu, niagizie kimoja"
"Sawa, muhudumu!" Henry alimwita dada mmoja muhudumu (waiter) aliyekuwa anakatiza karibu yao

"Niwasaidie nini tafadhali?"
"Kuna vyumba vya kulala?"
"Vipo vya kutosha sijui mngehitaji cha aina gani, V.I.P au cha kawaida?"

"V.I.P" mwanamama Sofia aliwahi kujibu
"Mnahitaji kupumzika saa hizi?"
"Ndiyo"
"Sawa twendeni nikawaonyeshe chumba kizuri cha V.I.P kitakachowafaa" muhudumu huyo wa k**e (waitress) aliwaambia, mwanamama Sofia akawa wa kwanza kusimama huku akiyumba yumba kutaka kuanguka, Henry akamshika kiunoni na kumsaidia kutembea nae taratibu kuelekea chumbani, muhudumu aliwafikisha mbele ya chumba hicho na kuwakabidhi ufunguo

"Jamani karibuni sana, gharama ya chumba hiki cha V.I.P ni shilingi elfu arobaini na tano tu kwa usiku mmoja"

"Usijali hapa pesa ipo" mwanamama Sofia alijibu kilevi
"Ngoja nikupe kabisa" Henry alitaka kutoa mfukoni
"Acha, nitailipia mimi asubuhi" alizuiwa
"Sawa" alitikisa kichwa, muhudumu huyo wa k**e (waitress) alitabasamu na kuwaacha wawili hao wakaingia chumbani taratibu, Henry akimfikisha mwanamama huyo kwenye kochi (sofa) la watu wawili ndani ya chumba hicho chenye kila kitu ndani

"Waooooh pazuri hapa"
"Sana, sasa mimi nikuache basi na..." Henry alizuga k**a anataka kuondoka

"Unaenda wapi Henry, halafu mimi nibaki na nani?" alishikwa mkono
"Lakini si unajua ni..."

"Huendi popote, baki hapa" mwanamama huyo alimvuta mkono Henry akamuangikia na kumshika mapajani huku wakitazamana uso kwa uso, macho kwa macho, nyuso zao zikiwa zimekaribiana karibu, kilichofuata baada ya ukimya wa sekunde kadhaa ni midomo ya kijana huyo kuanza kuisogelea midomo ya mwanamama huyo taratibu ikakutana katikati na wakaanza kupeana mate (denda) mwanamama Sofia akiwa amekaa kwenye kochi (sofa) huku Henry amesimama na kuinama kidogo...

*SEHEMU YA 05*💔

Bila kujali umri wa mwanamama huyo aliyemzidi zaidi ya miaka kumi na mitano ambae pia ni mama wa mpenziwe Jenny, Henry aliendelea kutoa mate (denda) taratibu akiwa amesimama na kuinama kidogo huku mwanamama Sofia akiwa amekaa pale pale kwenye kochi (sofa) ameishika kora ya shati ya kijana huyo barobaro, mweupe na mrefu, baada ya kufanikiwa kumuweka kwenye kumi na nane zake k**a alivyokusudia, ikiwa ni mara tu baada ya zoezi lake la kumfarakanisha na bintiye (wa kambo) Jenny kufanikiwa kwa asilimia mia moja

Zoezi la kubadilishana mate lilidumu kwa dakika takribani tatu kisha wakaachana na kutazamana usoni, macho ya mwanamama Sofia akiyalegeza huku wote wakishusha pumzi

"Samahani k**a nitakuwa nimekuudhi Henry, ni pombe tu!" mwanamama huyo alizuga huku akiiachia kora yake aliyokuwa amemshikilia

"Wala hujaniudhi mamy, samahani kwa mimi niliyekuleta mpaka humu ndani, aam hapa ni pazuri sana, wana vyumba vizuri, hivi panaitwaje?" Henry aliongea huku akisimama na kuliweka weka shati lake vizuri taratibu akizuga k**a hataki kufanya kile walichokianza

"Hapa panaitwa MBEBELE INN, ni bar mpya na lounge hii, kweli panashawishi kabisa" mwanamama Sofia alijibj huku akitazama pembeni

"Yap ni pazuri sana, sasa mimi naenda"
"Ndo unaondoka kweli, nikafikiri tutakaa kaa wote?" waliongea huku wakioneana aibu, mwanamama Sofia aking'ata kidole k**a msichana

"Kesho si unajua nataka kuwahi kazini"
"Oooh sawa basi, nisikucheleweshe, usiku mwema" alijibiwa, Henry akatikisa kichwa na kugeuka kuufuata mlango taratibu lakini akasimama ghafla

"Sasa huyu mama ameshanionjesha, namuachaje kizembe namna hii?" alijiuliza mwenyewe kimoyo moyo

"Najua hufiki mbali wewe, huna lolote, kutaka unataka sana sema unajizungusha kijana wa kiume" mwanamama Sofia nae aliongea kimoyo moyo huku akisimama na kukifuata kitanda akiinama na kuanza kukitandika vizuri akijifanya ananyoosha nyoosha mashuka yaliyokwisha kutandikwa, wakati huo Henry aliyekuwa ameshashika kitasa cha mlango aligeuka na kumtazama mwanamama huyo kwa uchu, udenda ukitaka kumtoka, badala ya kukifungua kitasa ili atoke, badala yake akakifunga kwa ufunguo kwa ndani kumaanisha ameghairisha safari ya kutoka kisha akageuka taratibu kumfuata mwanamama Sofia kitandani ambae alikuwa akivuta vuta shuka vizuri akizuga zuga, na ndipo kijana huyo mpenzi (mchumba) wa bintiye alipomshika kiuno kwa nyuma

"Uuuuwiii jamani" alipiga mayowe
"Samahani"
"Nimeshtuka" aligeuka akimtazama
"Pole" Henry alijibu huku mwanamama Sofia akigeuka taratibu, wakitazamana usoni na kijana huyo hakutaka kujizungusha wala kulaza damu tena akamsukuma mama mkwe wake mtarajiwa aliyeangukia kitandani chali, mzima mzima k**a furushi la maembe puuuh!

"Henry jamani uuuwiii" alilalamika huku kijana akifungua vifungo vya shati alilovaa na kulivua akilitupa chini, nae akapanda kitandani mzima mzima tayari kwa mchezo wa dhambi🔞uliokuwa ukinukia mbele yao.....

Upande wa pili bado mwanadada Jenny alikuwa hana amani tangu asubuhi mpaka sasa usiku wa saa tatu kutokana na kutompata Henry hewani (online) kwenye simu, na siyo kumpata kwa simu tu na zaidi kutomkuta nyumbani kwake alipokwenda kujaribu kumtazama ili azungumze nae na mbaya zaidi ya yote ni kuambiwa kuwa mpenziwe (mchumba wake) huyo amefuatwa na shangingi na inaonekana kuna mtoko wameenda

"Mbona sielewi Henry, kwanini hupokei simu zangu, hujibu meseji zangu, nimekukosea nini jamani na umeenda wapi usiku huu na huyo mwanamke ni nani uliyeenda nae, au yule jirani ni muongo, na kwanini aniongopee, itamsaidia nini?!" alijiuliza maswali yaliyokosa majibu huku akiitazama simu aliyoishika mkononi ambayo kwa sasa haikuwa na kazi akaitupa pembeni na kujilaza chali akiwa amejawa mawazo na muda huo huo simu ikaita tena akatazama namba akidhani ni Henry lakini hakuwa yeye ila ni rafiki yake tu wa k**e wa muda mrefu, akapokea na kuiweka sikioni

"Jenny shoga yangu uko wapi uuuwiii" aliongea kwa furaha akionekana kuna jambo zuri anataka amtaarifu
"Nipo nyumbani"
"Mh mbona unajibu kiunyonge sana jamani, upo sawa?"
"Nipo sawa, abee"

"Haupo sawa wewe hata kidogo, hebu niambie kilichokusibu Jenny?"

"Hamna kitu mbona nipo sawa tu"
"Sijakuzoea hivyo ila kesho nakuja tutaongea, leo nimekupigia unatakiwa uende pale kwenye bar moja classic mpya kabisa kuna bosi najuana nae anatafuta mfanyakazi nikakukumbuka wewe"

"Mh baa tena?"
"Acha zako, siyo mhudumu, cashier, unashika shika hela ni k**a hoteli fulani hivi, wewe si ulisema huchagui kazi?"

"Ni kweli lakini kuna kazi zingine changamoto ila k**a ni kazi hiyo haina shida"
"Ndo ufanye uende saa hizi akakuone"

"Mh siyo asubuhi, mbona saa hizi usiku muda umeenda sana?"
"Utakosa kazi, kesho kuna mtu analetewa ndo maana nataka ukamuwahi saa hizi"

"Inaitwaje hiyo bar sijui hoteli?"
"MBEBELE INN, fanya uende sasa hivi"

"Sawa haina shida, naenda sasa hivi"
"Poa changamkia fursa, ukifika utamtajia jina langu tu halafu ataelewa" rafiki yake huyo alimwambia na kukata simu, Jenny akashusha pumzi akiitazama huku akijikuna kichwa

"MBEBELE INN?!" Aliongea na kuanza kujiandaa tayari kwenda....

Jenny atamkuta mama yake (wa kambo) na Henry huko aendako?! itakuwaje?!

ITAENDELEA...

SEHEMU YA 03*💔MAMA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA MCHUMBA WANGU Kijana Henry alikuwa bado chumbani kwake amekaa kwenye kochi (s...
04/10/2025

SEHEMU YA 03*💔
MAMA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA MCHUMBA WANGU
Kijana Henry alikuwa bado chumbani kwake amekaa kwenye kochi (sofa) la watu wawili akiwa amejawa mawazo mengi kumuhusu mpenziwe wa muda mfupi sana, Jenny, wakiwa na mwezi mmoja tu kwenye mahusiano yao ya kimapenzi na wakiwa hawajawahi hata kukutana kimwili (kimapenzi)

"Henry!" aliitwa kwa sauti kali, akashtuka na kukurupuka kwenye kochi, alipotazama ni rafiki yake akiwa ameshaingia chumbani ambae alitikisa kichwa kumsikitikia

"Karibu, mbona umeingia kimya kimya kaka?"
"Kimya kimya wapi wakati nimegonga mlango wako nimeita wee naona kimya nikajua labda hakuna mtu ndani kufungua mlango ndo nakukuta umekaa tu kwenye sofa hapo kumbe makusudi tu umenifanyia kuuchuna k**a nakudai hela vile?"

"Hapana siyo hivyo kaka, mimi sijakusikia kabisa"
"Kumbe ni vipi?"
"Kuna mambo yananichanganya tu hapa"
"Mambo gani, mapenzi au?"
"Yule mtu wangu niliyenae niliyekusimuliaga, mrembo hivi anaitwa Jenny ambae nilikusudia kabisa kumuoa lakini nimekuja kupata taarifa za ajabu zinazomuhusu mpaka wazo la kuoa lote limeondoka ndugu yangu"

"Taarifa zipi, we nawe umeshaanza kusikiliza maneno ya watu kaka?"

"Bora hata yangekuwa ni maneno ya watu lakini taarifa nimesikia kutoka kwa mama yake kabisa"

"Taarifa gani mbona unanitisha wakati yule dada ni mimi niliyekushauri na kukusihi umuoe yaani usije ukamchezea maana katika mademu wote hakuna hata mmoja niliyewahi kukushauri kitu k**a hicho kwa sababu nakujua wewe ni mzee wa bandika bandua, ila yule demu Jenny kwa jinsi nilivyomuona kwa siku mbili tatu yule ni wife material kabisa kabisa yaani siyo wa kuchezewa, nikakusihi umuoe usimuumize dada wa watu, amefanyaje sasa?"

"Aaah kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza rafiki yangu, leo ndiyo nimeamini"

"Ndo uniambie sasa mzee, kulikoni, nini kimetokea?"
"Yule Jenny kumbe ana boyfriend na jana hajalala nyumbani kalala huko kwa jamaa wake yaani bro huwezi amini ninachojisikia moyoni natamani nichinje mtu"

"Duh ya kweli hayo?"
"Mama yake ndiye kaniambia sasa naona hakujua k**a mimi ni mchumba wa binti yake, kanikuta namsubiri akaropoka"

"Kweli nimeamini upole siyo unyonge, pole ndugu yangu ingekuwa ni kwa maneno ya mtu mwingine nisingekubali kabisa lakini kwa sababu umesema ni mama yake aliyekusanua, basi inawezekana ni kweli kabisa, asilimia mia"

"Ndo hivyo ndugu yangu, sorry mama yake ananipigia" Henry alimnyamazisha rafiki yake na kupokea simu

"Halow!" sauti ya mwanamama Sofia ilisikika upande wa pili wa simu
"Naam mama"
"Za muda huu?"
"Salama kabisa sijui wewe?"

"Nipo salama, upo wapi?"
"Nipo nyumbani mama kwanini?"
"Jenny amekutafuta?"
"Ndiyo lakini sijapokea simu zake wala kufungua meseji zake"
"Na ufanye hivyo hivyo maana hajielewi kabisa yule binti, vipi tunaweza kuonana baadae?"

"Wapi mama?" Henry aliongea huku rafiki yake akimtaka aweke sauti kubwa (loud speaker) ya simu nae akaiweka ili nae asikie anachokizungumza mwanamama huyo

"Popote pale, tukakaa tukaongea?"
"Sawa mama haina shida ila sitaki kusikia chochote kwa sasa kuhusu Jenny, nimeshaachilia yote nitaendelea na maisha yangu, siwezi kushea mwanamke na mtu mimi"

"Usijali mwanangu wala hatutoongea kuhusu Jenny, tutazungumza yetu tu"
"Oooh sawa nitakujulisha"
"Fanya hivyo, usikawie"
"Sawa" Henry alijibu huku simu ikikatwa akibaki anaitazama

"Mh huyo mama mkwe wako?"
"Ndiye yeye"
"Mbona kuonana mahali tena, ana jambo gani?"
"Hata sijui"
"Amekuelewa nini?"
"Unamaanisha nini jomba?"

"Wewe kwani mtoto ndugu yangu hebu jiongeze, mimi naona bimkubwa k**a kakuelewa hivi"

"Nani huyu mama, k**a kanielewa basi hasira zote za mtoto wake nitazihamishia kwake, asijichanganye tu"
"Mambo si ndo hayo, k**a mayai yamegoma kuliwa, tafuna hata kuku mwenyewe mwenye mayai, haipunguzi nguvu za kiume" rafiki yake aliongea kwa msisitizo, Henry akatikisa kichwa akikubaliana na maneno hayo

Upande wa pili mwanamama Sofia alikuwa chumbani kwake akichagua gauni la kuvaa kabatini baada ya kumaliza kuzungumza na Henry, mpenzi wa bintiye (wa kambo) Jenny

"Sijui nivae hili la kung'aa ng'aa au hili, nitakalotokelezea?" alijiuliza mwenyewe huku akiwa ameshika magauni mawili mikononi anaendelea kuchagua

"Safari ya wapi?" aliulizwa na mumewe, baba wa Jenny aliyekuwa ametoka kuoga
"Naenda kwenye sherehe tu ya rafiki yangu, kitchen party ya mtoto wake"
"Mbona hujaniambia kabla unafanya ghafla ghafla?"

"Jamani mume wangu mimi mwenyewe nimepigiwa simu sasa hivi hapa" alimjibu mumewe huku akimfuata taratibu na kumshika mabegani kumbembeleza

"Mimi sipendi safari za ghafla ghafla za kushtukizwa tu na unajua hilo"
"Najua mume wangu sitarudia tena, unaniruhusu?"

"Nenda"
"Asante mume wangu jamani" mwanamama huyo aliyezidiwa miaka zaidi ya kumi na baba wa Jenny alimjibu mumewe akimkumbatia

"Unajiona unapendwa mwenyewe, naenda kujirusha na vijana we mzee nilichofuata kwako ni maokoto tu na si kingine" mwanamama Sofia aliongea kimoyo moyo akiwa amemkumbatia mumewe huyo, huku akitabasamu....
ITAENDELEA...

Address

Nairobi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when African Blackstar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share