22/07/2026
IN A MATATU Leo nimecheka mpaka
nika-anguka chini...
Nilikuwa kwa
mat, mzee fulani akasema "Deree zima
iyo redio, sijaruhusiwa kusikiza muziki
k**a hizo....hata enzi ya yesu
hakukuwa na redio....." Deree: Akazima redio
halafu akasimamisha gari....
Sasa mzee akauliza "We deree,
kuna nini tena?" dere akajibu
"Nkt...hata wakati wa yesu hakukuwa
na magari, shuka ungoje-ngamin, Hahaa..."
Very baaad!๐๐๐