Carlin Brown

Carlin Brown 𝐘𝐎𝐔𝐍𝐆 𝐒𝐓𝐀𝐑 💫
𝐒𝐭𝐚𝐧𝐝 𝐮𝐩 𝐜𝐨𝐦𝐞𝐝𝐢𝐚𝐧 💥🧙
(1)

𝗰𝗼𝘂𝗻𝘁𝗿𝘆 𝗸𝗲𝗻𝘆𝗮 🇰🇪welcome to kenya where Degree owners are employed by school drop outs and form four leavers🫲🫱
05/06/2026

𝗰𝗼𝘂𝗻𝘁𝗿𝘆 𝗸𝗲𝗻𝘆𝗮 🇰🇪
welcome to kenya where Degree owners are employed by school drop outs and form four leavers🫲🫱

Leo jioni nilidanganya bibi naenda kununua credit,,nikaenda kutembelea mama mwingine jirani yangu after kuniambia bwana ...
04/06/2026

Leo jioni nilidanganya bibi naenda kununua credit,,nikaenda kutembelea mama mwingine jirani yangu after kuniambia bwana yake hatakua,,kufika kwa huyo mama,,hata sikuwa nimekaa sana,, tukasikia pikipiki ya bwanake imesimama kwa gate,,ikabidi nijifiche chini ya kitanda,,huyo mzee akakuja akaambia bibi yake aende hapo centre kuna chakula ya kuku amenunua na amesahau..vile bibi yake alitoka hivi..nikasikia amepigia mtu simu akuje harakaharaka kabla bibi arudi,,nikiwa chini ya kitanda nikasikia sauti ya mwanamke wakichekacheka,,,bibi yake hakukaa centre sana juu alikuwa anajua niko chini ya kitanda kwa hivyo aliharakisha sana kuliko vile bwana yake alitarajia,,,vile walimsikia akifungua gate akirudi,,,huyo mzee akaambia ule mwanamke aingie chini ya kitanda yenye pia mimi nilikuwa,,kuingia nakuambia nilishtuka yangu yote,,imagine alikuwa bibi yangu,,sasa mimi na bibi yangu bado tuko chini ya kitanda kwa wenyewe,,,,naongoja twenda nyumbani nimfunze adabu alafu nimfukuze aende kwao mimi siwezi ishi na mwanamke Malãyå 🤦🏿‍♀️🤣🤣🤣🙄🥰🤦🏿‍♀️

Me👨🏾: hello babe🥰🤗🤩.Her🧑🏽‍🦳: Hello too my love☺😚.Me👨🏾: unaweza come hivi makejani beb🙄imagin nimeboeka tu pekeangu aki😓 ...
03/06/2026

Me👨🏾: hello babe🥰🤗🤩.
Her🧑🏽‍🦳: Hello too my love☺😚.
Me👨🏾: unaweza come hivi makejani beb🙄imagin nimeboeka tu pekeangu aki😓 na hii baridi.
Her🧑🏽‍🦳: aki sai siwezi make😰😩..niko Busy.
Me👨🏾:OK sweetheart💖🥰tutameet kesho basi.
Her🧑🏽‍🦳: Mmmmh😏😒..
Me👨🏾: Beb what's up🙄😵?
Her🧑🏽‍🦳: Don't call me beb😡so now days ushaboeka na mimi?? you don't need to beg me anymore😏..mbona nakuambia siwezi make kucome na unakubali tu hivo haraka😠..ama uko na form mingi hadi huwezi nibeg unibembeleze nikam🤔?

Me👨🏾: no beb si umeniambia uko busy aki😵.
Her🧑🏽‍🦳: Niko busy but mbona unakubali haraka ivo? at first you used to beg me until I come..sikuizi ulipata chenye ulikuwa unataka so you don't beg me again😒..?
Me👨🏾: Noo beb please am sorry🙏.
Her🧑🏽‍🦳: sorry for yourself🚮.its Over between us💔.
Me👨🏾: 😭😭😭💔.
Na hivo ndio niliachwa😭💔💔..

Pale highschool ulikuwa umeandika nini juu ya locker yako?😂😂😂💔Tuskie legends👊😂😂
02/06/2026

Pale highschool ulikuwa umeandika nini juu ya locker yako?😂😂😂💔
Tuskie legends👊😂😂

Ex wangu Naomba upigiwe simu  🤳 ukiwa kwa road ,,ukienda kureceive iibiwe,,, ukikimbiza mwizi 🏃, ugongwe na gari alafu u...
01/06/2026

Ex wangu
Naomba upigiwe simu 🤳 ukiwa kwa road ,,ukienda kureceive iibiwe,,, ukikimbiza mwizi 🏃, ugongwe na gari alafu ukujiwe na ambulance 🚑,,, ikifika kwa daraja ianguke ubondwe kichwa uanguke kwa maji,,,, ukuliwe na samaki 🐟,,, samaki avuliwe na mvuvi ,,aje aniuzie mm niioshe niekee kwa jiko 🔥🔥,, nijisahau iungue nitupe kwa takataka ikuliwe na paka niekee paka sumu ikufe niitupe kwa choo,,,, choo ikujiwe na exhauster upelekwe mbali na mimi utapata taabu Sana Nugu hii ✌️🤸🤸.😎😎😎??😎😎

Guys mniombee 😭Nkimeza mate inaenda kwa tumbo😥😋😋💔
31/05/2026

Guys mniombee 😭Nkimeza mate inaenda kwa tumbo😥😋😋💔

Kuna🙄 Hawa madem💃 roho❤️ Safi🤍 ukimuita 🤙 sleep 😴 over😌 anakuja🚶 Na fare 🕺yake 💵 akifika🧍 anakuhug 🫂 hot kiss 💋 anakujul...
30/05/2026

Kuna🙄 Hawa madem💃 roho❤️ Safi🤍 ukimuita 🤙 sleep 😴 over😌 anakuja🚶 Na fare 🕺yake 💵 akifika🧍 anakuhug 🫂 hot kiss 💋 anakujulia Hali 💏 huku amekubebea 🎁 yoghurt 🍧 ama fruit🍎 Dem Hana Maringo🤔 but friendly ❤️❤️ mnakula fruits mkijuliana🥰 hali how you missed🥳 each other 💑 ... After hapo anakuambia🗣️ uende🚶 uoge🛀 huku yeye anaingia kitchen🥣 to prepare a sweet 😋 meal🍝 with a sweet aroma💑 ukitoka🧍 bafu 🚿 unapata 🤣 amekutolea 😍your favorite clothes 👖👕 unavaa mnaenda dining table 🥮 mnaomba 🙏 then mnakula 🤪 mnalala 😴 mkifika bed 🛏️ anakuromance 😘 Ile design uko in moods😍 za Kula hii🍑 forbidden fruit 🍓 🤣 unapewa styles zote🥱 mpaka unachanganyikiwa 😕 ukichoka anakuride 🚲 yaani unafeel 👄 ni k**a umemwaga 💧 mpaka bone 🍗 marrow 🦴 ikifika morning 🌅 anakuoshea vyombo🍽️ nyumba❤️ Na beddings mlilalia🛌 anakuhug 🤗 before 🥱 aende 👋 Ladies💅 is that too🤦 hard 🙍to do for your man🙆




Chemistry was one hell subject!!!😂😂😂Unaingia exam room unapata Q1 hujawai sikia tangu form one😂😂unaenda Q2,unapata inase...
29/05/2026

Chemistry was one hell subject!!!😂😂😂
Unaingia exam room unapata Q1 hujawai sikia tangu form one😂😂unaenda Q2,unapata inasema explain your answer in Q1above!!!👀unaisha na nguvu unasonga Q3,,kumbe inasema discuss your answer in Q2😲unangalia wenye wako around unaona huwezi discuss nao coz index number yao ni mbaya afadhali yako😂unaenda Q4 wanauliza types of bonds na zenye unajua ni Eurobond na james bond pekee😂unauma kalamu😎kidogo chopi anaendia extra paper unashindwa ni kurogwa ama nini?😂kabla huyo kuketi mwingine anasimama na kusema Q7 iko na shida na hio pekee ndio ulicalculate ukapata 0.076456 unaamua kulalia meza😇na unaota kuna uncle wako ako jeshi atakuorganizia uingie after chuo😂😂unaamka ghafla unakumbuka uncle wako ni jeshi la wokovu😩💔🤦
ni mbaya mtubwangu nakwambiaa😭😭🤣🤣
wacha niende hivi nirufi na igne mwecheche, follow

I'm single and looking for a short black beatiful laptop 😁😁Je, unataka laptop, computer or anything concerning computers...
28/05/2026

I'm single and looking for a short black beatiful laptop 😁😁
Je, unataka laptop, computer or anything concerning computers, usibabaike tena, pata bidhaa zote kwa wachim computers in Nairobi Location : Rasumal house 1st floor shop 5 along Tomboya street opp imenti house. call them at anytime for more information 0748807149 Wachim computers

Leo nikiwa natoka job (ile ya kawaida tu🦺⛑️)😂 niliamua kwamba hii 40 Niko nayo,  acha nipite hotelini atleast nikunywe c...
27/05/2026

Leo nikiwa natoka job (ile ya kawaida tu🦺⛑️)😂 niliamua kwamba hii 40 Niko nayo, acha nipite hotelini atleast nikunywe chai vikombe 2. kikombe moja for 1 good hour😂 na ingine 1hour😂 alafu nisugue meno na toothpick for 30 mins😂, nijisearch mifuko 10mins kutafta doo😂, ninawe 10mins🙆, nifake call 10mins😂 ndo atleast nitumie WIFI kiasi😂(sema akili ya mercenary wenyu ni mandizi tu na miwa)🤣.

Kufika kwa mlango, niliuliza "🗣️🎤password ya WiFi ni gani?" Dem mmoja akaniambia "kula kwanza" 😥 then nikasema " niletee chai basi 🙆" huyo Dem akaniletea chai nikamuuliza tena " ulisema password ya WiFi ni gani? tena akaniambia "kula kwanza😥"

After nimemaliza kikombe cha kwanza, nikaitisha ingine 🔥 yule yule tena akaniletea. kumuuliza password alinijibu "kula kwanza" 😥 eweeeeh kumaliza ya pili nikamuuliza password tena akaniambia kula kwanza 😥..... Nilijam nikamwekelea teke Moja knockout k**a ile nilipiga Majembe Destroyer wakiwa na Geoffrey Mosiria 🥴 dem akafeint😂😂😂😂

Saii Niko huku Eastleigh police station 😥 nimesearchiwa na wakachukua ile 40 bob yangu Nilikuwa nayo😭😭😭then naskia password ilikuwa ni "kulakwanza" in small letters🙆 wanangoja huyo waitress afeintuke aone venye Napigwa😭😭💔😭😭 mniweke Kwa Maombi Tafadhali muite wanahabari wa Citizen Tv wakuje wanihoji please niwaambie niko innocent 😭🤦🏿‍♀️😭 ✌️💪🥰
wacha nikule chakula mob uku station nipunguze hasira af niwashoo pesa ni ile 40 yangu wamechukua😁😂😂

Address

Nairobi South

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Carlin Brown posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share