Mjanaheri KENYA

Mjanaheri KENYA Entertainment News,Gossip, Breaking News,supporting Talents And all Celebrity

Show ya bavyombo MARERENI iliendaje jana🤔
12/09/2026

Show ya bavyombo MARERENI iliendaje jana🤔

🟢KWA MAONI YAKO🔴Unadhani Baraka Chula mkaazi wa marafa na mwanaume aliyetembea kilomita mia tano alifaa kupewa kazi  na ...
12/09/2026

🟢KWA MAONI YAKO🔴

Unadhani Baraka Chula mkaazi wa marafa na mwanaume aliyetembea kilomita mia tano alifaa kupewa kazi na serikali ya Kaunti ama ile yaKitaifa baada ya juhudi zake za kuhamasisha M-CARD kufua dafu

Ni kipi alichostahili kufanya ama kufanyiwa na serikali ili maisha yake yasirudi kua ya kawaida

Toa maoni yako

‼️BARABARA YA KULEKEA MARAFA 📌Watu wengi bado wanajiuliza  ni vipi barabara hii imekwisha haribika baada ya kuonekana kw...
12/09/2026

‼️BARABARA YA KULEKEA MARAFA 📌

Watu wengi bado wanajiuliza ni vipi barabara hii imekwisha haribika baada ya kuonekana kwa mashiomo kila sehemu ya barabara ikizingatiwa kuwa haijamaliza miaka kumi tangu itengenezwe

Unadhani ni nani wa kumlaumu kati ya Mbunge, Mwanakandarasi, na Raisi

Good morning from this side 📌 📷 🌴
12/09/2026

Good morning from this side 📌 📷 🌴

😭😭NI UCHUNGU SAANA😭😭Mwili wa aliyekua mtangazaji wa Bahari Fm Gladys Ziro watolewa katika makafani ya Makadara huko Momb...
11/09/2026

😭😭NI UCHUNGU SAANA😭😭

Mwili wa aliyekua mtangazaji wa Bahari Fm Gladys Ziro watolewa katika makafani ya Makadara huko Mombasa na kupelekwa kwao kaloleni kaunti ya Kilifi Kwa matayarisho ya mazashi yatakayofanyika kesho

Nenda salama Kadzo tutakukumbuka daima🕊

‼️BREAKING NEWS ‼️ Mvua kubwa inayoendelea yaangusha shule ya Maonjo Primary inayopatikana Dungicha huko GanzeWakaazi wa...
11/09/2026

‼️BREAKING NEWS ‼️

Mvua kubwa inayoendelea yaangusha shule ya Maonjo Primary inayopatikana Dungicha huko Ganze

Wakaazi wameiomba serikali msaada wa dharura kusaidia hali kwani madarasa hayo yalikua ya wanafunzi wa gredi ya tatu hadi ya sita

🔻JUAKALI GONGONI 🔺️Ni rasmi sasa juakali wanapatikana Gongoni Opposite sokoni ukihitaji majiko masanduku na vyombo vingi...
11/09/2026

🔻JUAKALI GONGONI 🔺️

Ni rasmi sasa juakali wanapatikana Gongoni Opposite sokoni ukihitaji majiko masanduku na vyombo vingine vya nyumbani vinapatikana

Hii view unaipata ukiwa wapi?📌📷🌴
11/09/2026

Hii view unaipata ukiwa wapi?📌📷🌴

MJANAHERI-NGOMENI ROAD 📌📷🌴Barabara ya MJANAHERI-NGOMENI yazidi kuboreshwa ikitabiriwa kuwa barabara bora zaidi
11/09/2026

MJANAHERI-NGOMENI ROAD 📌📷🌴

Barabara ya MJANAHERI-NGOMENI yazidi kuboreshwa ikitabiriwa kuwa barabara bora zaidi

Hapa ni wapi ? na kwanini gari za mchanga zinapitia hapa📌📷🌴
11/09/2026

Hapa ni wapi ? na kwanini gari za mchanga zinapitia hapa📌📷🌴

Address

Mjanaheri
Malindi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mjanaheri KENYA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category