23/08/2025
Wanaume sijawahi kuwasema vibaya Ila badilikeni yaani mtu unasafili toka mbeya kuja Arusha kufata bao moja 🤣🤣🤣🤣 sio maneno yangu ni maneno ya dada mmoja kaniambia hivyo .........sawa anaweza Toka mikoani kwa ajili yako ila akifika sura ya Facebook haiendani na uhalisia wako ..kwakua katumia gharama yake kubwa anamua tu kutokuvunjia heshima anapiga bao moja anaachana na wewe sio kuwa hawezi kwendelea Bali anakua na wasiwasi na wewe maana tiyari picture za Facebook mnatumia filters kwa wingi mtu akiwaona live hamu ya tendo inatoweka ...lkn wanawake tungekua sio waongo tunaishi maisha yetu halisi mbona gori nyingi zipo kwa wanaume....alfu mwisho usafi mhimu baana sio unavua kichupi mwanaume anakwepesha poa pembeni hayo mapenzi anafanyaje.......
👇