Almasi Nillan

Almasi Nillan Toro ... ๐Ÿซ…๐Ÿพ
Singer โ€” Blogger ๐ŸŒ
Digital Expert | Content Creator ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
From East Africa ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
๐ŸŽฅ Watch โ€” youtube.com/c/miRiFic
(9)

A young mother recreated a precious 1997 photo once taken with her own mom โ€” but this time, she stood beside her daughte...
13/05/2026

A young mother recreated a precious 1997 photo once taken with her own mom โ€” but this time, she stood beside her daughter ๐Ÿ˜ณ

The matching pose, the same love, and the beautiful generational connection touched thousands online. Sometimes the greatest memories donโ€™t fadeโ€ฆ they simply continue through our children โค๏ธ๐Ÿ‘ฉโ€๐Ÿ‘ง

Life changes, years pass, but family traditions and love remain forever ๐Ÿ’ซ

๐Ÿ“Œ Follow ๐Ÿ‘‰ Almasi Nillan kwa story zaidi kali k**a hizi za mastaa na maisha yao nyuma ya pazia. ๐Ÿ’

Unaeza Kuwa Unapost Kila Wakati, Unapata Millions of Views Kwa Mwezi Lakini Malipo Hakuna Ama Hata Ujipate Umetengeza He...
13/05/2026

Unaeza Kuwa Unapost Kila Wakati, Unapata Millions of Views Kwa Mwezi Lakini Malipo Hakuna Ama Hata Ujipate Umetengeza Hela Kidogo Kwa Mwezi ๐Ÿ˜…๐ŸคŒ๐Ÿพ

Jaribu Kufatilia Ukurasa Wangu, Angalia Masaa Yenye Huwa Naweka Maudhui Yangu ๐Ÿง ๐Ÿงช Kuna Mengine Siwezi Yasema Hapa Maana Hakuna Aliyeniuliza ila Wacha Niwaambie Ukweli, Tofauti Yangu Na Hao Wanao ingiza $6,000 + Every Month, ๐Ÿฅฒ Bado Sijapata Gadget Yenye Inaweza Nipandisha Haraka, Na Ndio Maana Just from My Creativity Nimeweza Kufika Hapa ... Till Number: 6027140 Wale Mashabiki Wameendelea Kutuma Kitu Kidogo Ili Tupate hii โœ… Tukipata Hii Simu Tunaingia Target ya $300 - $1,500 + Every Month!! Glow with me or watch me glowing...... Xiaomi Kenya ๐Ÿฅน

13/05/2026

K**a Unapitia Stories Zangu, Unajifunza Mengi ๐Ÿง ๐ŸคŒ๐Ÿพ

Je, Umeshawahi Jiulize Hicho Kialama Hapo Mbele Ya Jina La Msanii Pale Kwa YouTube, Husaidia Kwa Kazi Gani ...? ๐Ÿ˜… Ukisha...
13/05/2026

Je, Umeshawahi Jiulize Hicho Kialama Hapo Mbele Ya Jina La Msanii Pale Kwa YouTube, Husaidia Kwa Kazi Gani ...? ๐Ÿ˜… Ukishaelewa Mfumo Basi Unaokota Pesa Za Bure Kutokana na Kila Wimbo Unaoachilia. ๐Ÿง ๐ŸคŒ๐Ÿพ

Lack of information ndio imefanya wasanii wengi kutoka East Africa Kupotea Kimuziki, Kwanini nasema hivi ... ebu nisikil...
13/05/2026

Lack of information ndio imefanya wasanii wengi kutoka East Africa Kupotea Kimuziki, Kwanini nasema hivi ... ebu nisikilize kiasi zile story zenye zinaongelewa huko nje zilinifanya nifikirie kwamba all 'artists, public figures and any other notable person, ni members wa secret society ๐Ÿฅฒ Lakini huu ndio ukweli ambao hawatakwambia kabisa, ONLY RECORD LABELS Ndio Wakona Uwezo Mkubwa Kuchangia kwa Msanii Kupotea katika 'Map' ya Music Industry... Hii Screenshot inaelezea mambo mengi yenye k**a wewe ni msanii upcoming unaweza katisha tamaa kupambania ndoto zako, ๐Ÿคง Wasanii Hutafuta Record Label ili Mambo K**a Haya Wafanyiwe, Kumbuka Umeingia Katika Label ya watu na hujui hata na mengi kuhusu digital life ... Baadae msanii akishaanza kuelewa mambo na na ๐Ÿ˜… Hapo Ndio Anaanza Kujiona Alifanya Makosa Makubwa Sana Ku - sign Paper Yenye Baadae Utaanza Kushikwa Mateka k**a 'Rich Mavoko, na Kubwa Studios Kenya ๐Ÿฅน Harmonize na Ibraah_tz ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Wasanii Musiwe Wazembe Kujua Undani Wa Career yako, BE YOUR OWN BOSS ๐Ÿฅน
Written by Almasi Nillan, founder, CEO & MD Digo Talent ๐ŸŒŠ

13/05/2026

In the land of the blind the one eyed man is the King ๐ŸŒ๐Ÿง ๐ŸคŒ๐Ÿพ

Breaking News ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ”ฅNilikuwa napost tu kawaidaโ€ฆ leo Facebook inanilipa kwa kasi si mchezo ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ“ˆSiri iko kwa strategy sahihi na...
13/05/2026

Breaking News ๐Ÿšจ๐Ÿ’ฐ๐Ÿ”ฅ
Nilikuwa napost tu kawaidaโ€ฆ leo Facebook inanilipa kwa kasi si mchezo ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ“ˆ

Siri iko kwa strategy sahihi na kuelewa mfumo ๐Ÿ’ก Wengi wanahangaika bila direction, lakini ukweli ni huuโ€”ukijua unachofanya, pesa zinaanza kuingia polepole hadi zinakuwa consistent ๐Ÿ’ธ

Unataka kusaidiwa? Nitumie Inbox na shida yako, nitakuonyesha njia ๐Ÿ™Œ Link ipo Almasi Nillan Comment section ๐Ÿ‘‡

Imagine unaingia dukani halafu unamkuta Dua Lipa anauza TVโ€ฆ kumbe hata hajui picha yake ipo kwenye box ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ“ฆ Inasemekana st...
13/05/2026

Imagine unaingia dukani halafu unamkuta Dua Lipa anauza TVโ€ฆ kumbe hata hajui picha yake ipo kwenye box ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ“ฆ Inasemekana staa huyo amefungua kesi ya dola milioni 15 ($15 Million) dhidi ya Samsung baada ya kampuni hiyo kutumia picha yake kwenye packaging za TV bila ruhusa ๐Ÿ‘€โš–๏ธ Watu mtandaoni walichanganyikiwa vibaya mpaka โ€œDua Lipa TV boxโ€ ikawa viral ๐Ÿ˜ณ

Wengine walikuwa wakisema watanunua TV hiyo sababu tu ya kumuona Dua kwenye boksi ๐Ÿ˜ญ Hii sasa imeonyesha jinsi nguvu ya mastaa kwenye marketing ilivyo kubwa duniani ๐ŸŒ

๐Ÿ“Œ Follow ๐Ÿ‘‰ Almasi Nillan kwa story zaidi kali k**a hizi za mastaa na maisha yao nyuma ya pazia. ๐Ÿ”ฅ

12/05/2026

Baada ya ukimya wa muda mrefu, sasa ni wakati wa kuachia hisia zote kupitia kibao kinachoitwa โ€œSitolipizaโ€ ๐Ÿฅบ Hii sio tu ngoma, ni simulizi ya maisha yangu, maumivu, usaliti na nguvu ya kusonga mbele bila kisasi. Wale waliokuwa wakisubiri kurudi kwangu, muda umefika. ๐Ÿคง

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameonekana akizuru mitaa ya Nairobi akiwa pamoja na bingwa wa marathon duniani Eli...
12/05/2026

๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameonekana akizuru mitaa ya Nairobi akiwa pamoja na bingwa wa marathon duniani Eliud Kipchoge ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ”ฅ

Ziara hiyo imeacha wengi wakiongea baada ya viongozi hao kuonekana wakitembea kwa utulivu huku wakionyesha ukaribu mkubwa na wananchi wa Kenya โค๏ธ๐ŸŒ Wakenya mtandaoni wamefurahia kuona Nairobi ikipewa heshima ya kimataifa kupitia sura kubwa k**a Kipchoge ambaye ameendelea kuitangaza Kenya duniani ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ

Wengi sasa wanaamini Kenya inaendelea kuwa kitovu cha michezo, diplomasia na ushawishi Afrika ๐Ÿ˜ฎ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ‘‰ Wewe ungekuwa hapo ungeomba selfie au ungewaacha wapite? ๐Ÿ˜…

๐Ÿ“Œ Follow ๐Ÿ‘‰ Almasi Nillan kwa story zaidi kali k**a hizi za mastaa na maisha yao nyuma ya pazia. ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿšจ๐Ÿ˜ณ Imagine kupoteza meno yoteโ€ฆ then one day mwili wako unaanza kuyaotesha tena naturally bila implants wala dentures ๐ŸฆทWa...
12/05/2026

๐Ÿšจ๐Ÿ˜ณ Imagine kupoteza meno yoteโ€ฆ then one day mwili wako unaanza kuyaotesha tena naturally bila implants wala dentures ๐Ÿฆท

Watafiti kutoka Kyoto University Hospital wameanza majaribio ya dawa mpya ambayo inaweza kusaidia binadamu kuota meno mapya kabisa ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ”ฅ

Mnamo October 2024, madaktari wakiongozwa na Dr. Katsu Takahashi walianza clinical trials kwa wanaume 30 waliopoteza meno yao. Dawa hiyo inafanya kazi kwa kuzima protein inayoitwa USAG-1 ambayo huzuia meno kuota tena baada ya utotoni ๐Ÿ˜ณ

K**a majaribio yatafanikiwa, dunia inaweza kuachana kabisa na dentures na implants kufikia mwaka 2030 โœ…

๐Ÿ“Œ Follow ๐Ÿ‘‰ Almasi Nillan kwa story zaidi kali k**a hizi za mastaa na maisha yao nyuma ya pazia. ๐Ÿ”ฅ

Address

Kwale

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Almasi Nillan posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Almasi Nillan:

Share