23/08/2022
CHEMSHA BONGO..
Mwanamke mmoja aliingia dukani na kuiba sh 100 bila mwenye duka kujua.baada ya dk 5 akarudi na kununua kitu chenye thamani ya sh 70 kwa kutumia ile hela aliyoiba.mwenye duka akamrudishia chenji ya sh30.
Mwenye duka kapoteza sh ngapi
A.30.
B.130.
C.70.
D.170.