07/02/2023
PART 7
💥MAMA MBOGA💥
So the next day huyo dem alinipeleka out side Fulani hapa Mombasa sema kujienjoy😋😋tukaenda restaurant Fulani hapa Mombasa town dem akanisho niitishe food nataka Mimi naye ni nani😂😂Once a kelenjin always a kalenjin nikaitisha kwanza ugali mlima na mursik😋😋nkabonda nkabakisha kaugali kadogo nkaitiaha waiter aniletee samaki mbili nimalizie hako kaugali😹😹after kuleta Mimi naye ni nani nkafyeka zote nkaitisha Maji then nkarelax dem bado ananiangalia tu😋😹😹nkarelax chakula iteremke then nkaitisha chips kuku na soda kubwa stoney😂nkatumbukiza tumboni dem akashangaaa na Mimi😳😳mimi moyoni najisemea atajua hajui kupeleka mkale hotelini ni crime😹Sa tukaendelea kubonga nikikula hizo chips mdogo mdogo yeye pia akajichukulia zake na kuku robo 😋😋tukijienjoy mdogo mdogo akinipa mastori tele 😋😎sasa ikafika time ya bill ilikua inaadd upto 2,564/= ilibidi tu amelipa juu nilikausha uso then tukaenda swimming 😋😎atleast kupunguza joto at that moment tukiwa swimming gari Fulani aina ya Nissan sanny ikatokea sikujua anahitaji nini😹😎mimi mbiombio nkakimbia kuona anasemaje😎waaah hata kabla niongee nkashikwa mateka nkatupwa ndani ya gari bila kutambua makosa yangu kulikua na majamaa watatu wenye misuli😳😳wakanifunga uso kwa kitambaa cheusi kisha nkapelekwa nisikojua acha tutajua huko kwenye sehemu ya ......
8
Brain