BABAA NJERU KK Backup

BABAA NJERU KK Backup Personal blog,art,music and current affairs.

Hapa nayo ni mbaaaiyaaa🤣🤣🤣Wekelea tu PSG kichwa mshahara yote!!!
29/05/2026

Hapa nayo ni mbaaaiyaaa🤣🤣🤣

Wekelea tu PSG kichwa mshahara yote!!!

KINAYASerikali imesisitiza imewekeza mikakati dhabiti ya kuzuia  na kudhibiti ugonjwa hatari wa Ebola dhidi ya kuingia h...
28/05/2026

KINAYA
Serikali imesisitiza imewekeza mikakati dhabiti ya kuzuia na kudhibiti ugonjwa hatari wa Ebola dhidi ya kuingia humu nchini.

Huu ni usemi wake Waziri wa Afya Aden Duale wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya Eid Ul Adha jijini Nairobi, akisisitiza mikakati ya kuwakagua wasafiri wote wanaoingia nchini kutoka nchi ya Kidemokrasia ya Kongo na Nchini jirani ya Uganda ipasavyo.

Duale,akiwataka mikakati hii imewekezwa mipakani pamoja na viwanja vya ndege ili kuhakikisha ugonjwa huo hujaingia nchini.

Kwa nini hiki ni kinaya,wakati uo huo rais wa Marekani Donald Trump ameonesha nia ya kujenga pahali maalum pa kuwahifadhi na kuwahudumia walioambukizwa maradhi ya Ebola hapa nchini.

NIPE MUDA, NATUPA MACHO

Don't you worry ,the difference between melon and lemon is the arrangement of the sounds. How you arrange them determine...
26/05/2026

Don't you worry ,the difference between melon and lemon is the arrangement of the sounds. How you arrange them determines your status ,either sweet or bitter.

Wake up ,work on Time the only difference between Here and There.

Watu wangu huyu ni mwanahabari Pauline Laughter, shabiki wa Manchester United. Aliahidi Ofisaa Mwenyewe kuwa  Arsenal ik...
22/05/2026

Watu wangu huyu ni mwanahabari Pauline Laughter, shabiki wa Manchester United. Aliahidi Ofisaa Mwenyewe kuwa Arsenal ikishinda EPL atanyoa au avae Jersey ya Arsenal na awe shabiki wao.

Watu wangu🤣🤣🤣ameamua urembo upungue ,amenyoa!! Shida Ofisaa atatweleza k**a walikubaliana atanyolewa kichwa !!!!

Pole mamuuuu!! Ni mbaaaya!

Gacati kau mbikirite kari gasurprise!Ninagatere aga nagekiraga ngambia kwithua!
21/05/2026

Gacati kau mbikirite kari gasurprise!
Ninagatere aga nagekiraga ngambia kwithua!

Hata Makenzi amesmile!!!
20/05/2026

Hata Makenzi amesmile!!!

20/05/2026

Arsenal wamejaa ngori!!
Wiiiiiiii

20/05/2026

Ahsante for the 2K followers .

All I can say is congratulations Arsenal 2025/2026 Champions.
19/05/2026

All I can say is congratulations Arsenal 2025/2026 Champions.

19/05/2026

Amkeni ,Man City wamegix mechi!!!

Address

Embu

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BABAA NJERU KK Backup posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category