06/04/2026
🤣INSHA YA MTOTO WA GHETTO.
Ilikua Mangware🤓 kitu ka saa moja na mbaula. Mathe alikua ndio anapika bre, breko na si tulikua tuna du, tunadunga gwanda za chu, gwanda za chuo😊😊. Kighafla bin vuu mzae akadungiwa nangos ngrrrrrr ngrrrrrr ngrrrrrr. Akauma va vako🙄, akai lee akailenga😑.
Mi nikachukua😮 ndunya a.k.a ndao skonya nikaichapa mabite mbili chwa chwa, kizangila zangila nikaingia bedroom chini ya maji🤔.Nikasanya mbao ya kukula mogoka brektime chuo. Mabunde zikaanza kulia twa twa twa dushnyau😎. Nikajua kuna msee anaperembwa kuchungush kwa odiro, nikacheki ni buda ako works anaperemba wasee kwa coridor ya kina Symo👏.
Juu ni tit for tat pia mi nikasaksua macoin zake kwa koti🤗.Wanasemanga mtoi wa nyoka n🤣🤣INSHA YA MTOTO WA GHETTO.
Ilikua Mangware🤓 kitu ka saa moja na mbaula. Mathe alikua ndio anapika bre, breko na si tulikua tuna du, tunadunga gwanda za chu, gwanda za chuo😊😊. Kighafla bin vuu mzae akadungiwa nangos ngrrrrrr ngrrrrrr ngrrrrrr. Akauma va vako🙄, akai lee akailenga😑.
Mi nikachukua😮 ndunya a.k.a ndao skonya nikaichapa mabite mbili chwa chwa, kizangila zangila nikaingia bedroom chini ya maji🤔.Nikasanya mbao ya kukula mogoka brektime chuo. Mabunde zikaanza kulia twa twa twa dushnyau😎. Nikajua kuna msee anaperembwa kuchungush kwa odiro, nikacheki ni buda ako works anaperemba wasee kwa coridor ya kina Symo👏.
Juu ni tit for tat pia mi nikasaksua macoin zake kwa koti🤗.Wanasemanga mtoi wa nyoka ni nyoka, ziiiii hio na kataa, mtoi wa nyoka ni nyoka ndogo😑. Saa ticha jo manze hii insha nilicram hadi hapa nidunge kenye unanidu, unanidunga na nime ma, nimemada...awolan sha shutterde😂 mtoto apewe maks ngapi 😂😂😂.
👉👉👉👉👉usisahau kulike page 👈👈👈👈🙏
i nyoka, ziiiii hio na kataa, mtoi wa nyoka ni nyoka ndogo😑. Saa ticha jo manze hii insha nilicram hadi hapa nidunge kenye unanidu, unanidunga na nime ma, nimemada...awolan sha shutterde😂 mtoto apewe maks ngapi 😂😂😂.
👉👉👉👉👉usisahau kulike page 👈👈👈👈🙏