Bin_ally

Bin_ally Filmmaker || Production

29/05/2026

💓Wakati wewe unaona mwenzako ana kasoro nyingi na unamtangaza kwa watu, huenda yeye ndiye amechoka zaidi na mapungufu yako.

💓 ila ameamua kuvumilia, kukuelewa, na kuendelea kukupenda bila kulalamika.

💓Kila mtu ana mapungufu yake, hivyo kabla ya kumhukumu mwenzako, jifunze kuthamini moyo wake wa kuvumilia yale ambayo wengine wasingeweza kuyavumilia.

💓 Upendo wa kweli haupo kwenye ukamilifu, bali kwenye kuelewana, kusameheana na kubebana katika changamoto za maisha. Asalam aleykum warakhamatulah wabaraquatuh 🌙🌃

Ifanye leo iwe na thamani 🤍 Omba kwa wakati, mkumbuke Mwenyezi Mungu mara kwa mara, msaidie mtu, na ulinde moyo wako dhi...
27/05/2026

Ifanye leo iwe na thamani 🤍 Omba kwa wakati, mkumbuke Mwenyezi Mungu mara kwa mara, msaidie mtu, na ulinde moyo wako dhidi ya hasi. Tendo moja la dhati leo linaweza kubadilisha kesho yako. ✨

Life size🥰
25/05/2026

Life size🥰

17/05/2026

Asalam aleykum warakhamatulah wabaraquatuh 🌙❤️

16/05/2026

Allah is always with u ♥️♥️
Folo mi

18/02/2026

😂

Address

Adammapande
Geysir
000

Telephone

+255683092722

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bin_ally posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Bin_ally:

Shortcuts

Share