18/10/2025
Merci beaucoup notre partenaire ATLAS MEDIA TV
KIKUNDI CHA FILAMU "PEACE AND LOVE" CHAZIDI SHAGAMUSHA UVIRA KWA FILAMU ZA KUELEMISHA JAMII
Uvira, DRC Kikundi cha wasanii wa filamu kinachoitwa Peace and Love kinazidi pandisha umaarufu katika mji wa Uvira kutokana na kazi zao za ki sasa zenye ujumbe mzito wa kuelimisha jamii, kukuza amani, na kuhimiza mshik**ano.
Kikundi hiki kinaundwa na vijana wenye vipaji vikubwa katika uandishi, uongozaji na uchezaji wa filamu, ambao wamejitolea kutumia filamu k**a chombo cha mabadiliko katika jamii. Kwa kutumia filamu. Peace and Love ime dowa cinema mupia inaitwa VACANCE
"Lengo letu ni kuelimisha na kugusa mioyo ya watu kupitia sanaa. Tunaamini filamu zinaweza kubadilisha fikra na maisha,
Mbali na kufanya filamu, kikundi hiki pia hushirikiana Kamavile AC CAMPANY CCU ATLAS MEDIA TV na mashirika ya kiraia na shule kuendesha mafunzo mafupi kwa vijana kuhusu utunzi wa ajili, uongozaji wa filamu, na uhariri wa video kwa lengo la kuwajengea uwezo na kuwapa mwelekeo wa maisha.
Peace and Love wanatoa wito kwa sapoti mbalimbali, ndani na nje ya Uvira.
Kwa kweli, vijana hawa ni mfano wa matumaini wakionesha kuwa sanaa inaweza kuwa daraja la kuelekea kwenye jamii iliyojaa upendo na amani.
mwandishi:PROTAIS TEMBO