28/12/2023
Bonne année à tous
Siku k**a iyi aiko yakukosa concert kababi 01/01 kutakuwa burunda usiyo Iona ku NGANDA KATAMBO lundi mesha ticket zitakuwa disponible samedi wayi usije ukawayiwa kutakuwa babingwa wa DANCE taka apo kwetu kiliba siwengine ni wakili wa DANCE Wa vijanja wa apa apa kiliba wanajuwa kushenza sana kanasema uje ujioneye lundi
Waalikwa
Uje ujioneye lundi ku NGANDA KATAMBO kuingiliyo nik**a bure kabisa 1000FC VIP 2000FC bei yanyanya ukose kufika shukurani kwa sitafu yote ya hongero music kwa sapoti yenu mungu azidi kuwa bariki kbs
Follow me
Abonné vous sur notre pages Facebook
IVO MEDIA