28/07/2025
Barikiweni na wimbo huu wa Vox dei Family wa gideoni, unaonesha hadithi ya Gideoni aliyekuwa shambani akivuna ngano, alipofikiwa na malaika wa Bwana. Maneno “Usiogope, Bwana ni mshindi, atakupigania” yanahimiza imani, ujasiri na tumaini kwa Mungu katika nyakati za changamoto,na Wewe waweza kupitiya wakati huo, sikiliza wimbo huu utafarijika na utapata ujasiri 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻
https://youtu.be/oNP7dPlDX1A?si=Onz11aCiRJzsiay7