KIVU BAD HOUSE WEEK-END SHOW AVEC KIVU BAD HOUSE
HIP HOP MUSIC

😍😍😍😍
01/08/2025

😍😍😍😍

KU INJOY GOOD MUSIC NI LE 31 août
Lucio Pieboy Øfficiel ndakua ndani usipange kukosa

23/11/2024

Nous avons eu le plaisir de rencontrer Lucio Pieboy Øfficiel PãPãboss , talentueux et passionné avec une discographie très riche ...cette année il est notre invité pour sa première fois...il est prêt à nous partager son énergie et sa vision du monde à travers sa musique ..

Venez découvrir ça ce 15 Décembre fans

06/03/2024
10/02/2024

Maisha Ni safari 😇
Kuna mda unajikuta unaenda mbele walio mbele wana Jikuta nyuma 🤔

Sasa K**a unajuwa ukuta ambao Ndo inafaaa kutobowa ili Ufikie malengo bwana waza Mara 3 Tatu
Kisha uombeye Adui yako Apana kuungana naee maana watu watakuona una rudi nyumba

kwenye Filamu za dessin annime 😂

Tuliambiwa kuomba msamaha maana tulio wakosea awana atiya
Bali kukosowa wale ambao walio tukosea 😈
👇👇👇👇👇👇👇👇
https://youtu.be/SULiySJzW2Y?si=DW

25/01/2024
28/12/2023

JAMBO BATU YA KIVU

MIMI NI MSANI WA BUKAVU NIKO NDANI YA NEW GÉNÉRATION NINA KIPAJI CHAKU CHANGAZA ILA SAPOTI AIPATIKANE ILI NI TIMIZE MALENGO YANGU

KWA KILA MTU AMABAYE ANA WEZA NI SAIDIA KIPAJI YANGU ISONGE MBELE SHUKRANI ZANGU ZIMU FIKIYE

NDIYO KWA MKONO WANGU MOJA
NA UMLI WA MYAKA 21ANS

NIMESHA TOWA ALBUM IKAITWA

1.
ALBUM YENYEWE NIME FANYIKIWA KUI WEKA YOUTUBE KU SINDIKIZIWA NA SHIDA NYINGI
SIKU VUNJIKA MOYO NIKA ENDELEA NA PAMBANA

LEO KUJIKAZA NIKA TOWA

EP INA ITWA
AMBAYO NILI SAIDIWA NA PRODUCED WA ANAITWA Gonga Beatz,ASANTE KWAKE

LEO NAJIONA K**A NIKO NYUMA KIDOGO ILI NI TIMIZE NDOTO YANGU

NDOTO YANGU INA KOSA TU MANAGER AMA MTU WAKU NI SAPOTI

SAPOTI NI KITU YA MAANIA SANA KWA MSANI

PLATFORM ZA KIVU
Kivu flever
Bukavu Buzz,
Kivu Music Act ,
MAPYA UVIRA,
BUKAVU NEW'S 🇨🇩🇩ECT

NAOMBA KUNI SAIDIA KU SAMBAZA IYI MA LALAMIKO

NB: KWA KILA MTU AMBAYE ATA TOWA SAPOTI YAKE NDAJIKAZA NI TOWE NGOMA KWAIZO PESA ZA SAPOTI NA NDA AKIKISHA IWE NGOMA YAKI INTERNATIONAL

NAOMBA SAPOTI YENU ILI MZIKI WANGU NA KIPAJI CHANGU BISI CHELEWESHWE NA WAKATI

TUMA SAPOTI YAKO KWAIYI NUMBER
(+243992326656)

ANSATE SAPOTI YENU NIYA MAAANA SANA

27/12/2023

niko single

Mwaka tuta anza (2024) niko na penda tuanziye kuizi ma titre

1.champion party 2 (afrobeat)(syle ragga)

2.Hip Hop flow (oldschool)
3.Ingia bure ( danchall)

Injoy EP woga link iko kwenye bio yangu

Ji abonné déjà

23/11/2023
19/11/2023

Adresse

Kivu Bad House
Bukavu

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque KIVU BAD HOUSE publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Contacter L'entreprise

Envoyer un message à KIVU BAD HOUSE:

Partager