Platform show

Platform show entertainment
contact us on :[email protected] Or [email protected]

CHANY QUEEN  ameonesha upendo mkubwa kwa binti yake wa kwanza, Rahma, ambaye anatarajia kujifungua hivi karibuni. Kupiti...
28/04/2026

CHANY QUEEN ameonesha upendo mkubwa kwa binti yake wa kwanza, Rahma, ambaye anatarajia kujifungua hivi karibuni. Kupitia ujumbe wake wenye hisia, Chany Queen alimtakia baraka tele pamoja na kizazi chake chote.

Katika ujumbe huo, alisema:
“Ninakuombea baraka wewe binti yangu na kizazi chako chote ✨ Mungu akulinde, akuongoze na akufunike kwa neema yake. Akulinde katika ndoa yako, akuweke mbali na kila uovu na kila jambo baya. Kizazi chako chote kiwe na baraka, kifanikiwe na kikae mbali na uovu wote. Ahadi za Mungu zitimie katika maisha yako na katika vizazi vyako vyote vijavyo 🙏💛”

Mashabiki na wafuasi wake wamejitokeza kwa wingi kumpa pongezi Rahma huku wakimuombea afya njema katika kipindi hiki muhimu cha ujauzito. Ujumbe huo umegusa wengi kutokana na upendo wa mama kwa mwanae na matumaini mema kwa kizazi kijacho.

27/04/2026

Sammy Melody impamvu yatumye ndeka Gospel//Ubu ndirimba karaoke na seculer vyahindutse ubuzima

MSIBA MKUBWA TASNIANI: HASHIM KAMBI AFARIKI DUNIA.Tasnia ya filamu nchini Tanzania imepata pigo kufuatia kifo cha Mwigiz...
27/04/2026

MSIBA MKUBWA TASNIANI: HASHIM KAMBI AFARIKI DUNIA.

Tasnia ya filamu nchini Tanzania imepata pigo kufuatia kifo cha Mwigizaji mkongwe, Hashim Kambi, aliyefariki dunia na kuacha huzuni kwa wadau wa sanaa na mashabiki wake.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Mwigizaji Madebe Lidai kupitia ukurasa wake wa Instagram, ambapo aliandika kwa masikitiko: “Kila la kheri mzee wangu 😭😭😭 (R.I.P).”

Enzi za uhai wake, Hashim Kambi alijijengea heshima kubwa kutokana na uwezo wake wa kipekee wa kuigiza, akichangia kwa kiwango kikubwa kukuza na kuimarisha tasnia ya filamu nchini Tanzania.

Ameacha kumbukumbu ya kazi nyingi zilizogusa maisha ya watu, ikiwemo filamu maarufu k**a Simu ya Kifo, Binti Nusa, na Babu Seya, ambazo ziliendelea kuthibitisha kipaji chake na uzoefu wake mkubwa katika sanaa.

Hakika, kuondoka kwake ni pengo kubwa ambalo halitakuwa rahisi kuzibwa katika ulimwengu wa filamu.

Ni filamu ipi ya Hashim Kambi uliiwahi kuipenda zaidi?

Muziki wa Burundi umepata msisimko mpya. Msanii mahiri na wa muda mrefu Lolilo Simba , ametangaza rasmi kuachiwa kwa alb...
27/04/2026

Muziki wa Burundi umepata msisimko mpya. Msanii mahiri na wa muda mrefu Lolilo Simba , ametangaza rasmi kuachiwa kwa albamu yake mpya kabisa inayokwenda kwa jina la "SECRET" siku kadhaa zijazo.

Kupitia cover aliyoiposti kwenye mitandao yake ya kijamii, Lolilo anaashiria dhamira ya albamu hii. K**a alivyoandika kwenye cover: "Not everyone deserves access to every part of you. Secrets create Privacy. Privacy Creates dignity." Ujumbe mzito unaogusa maisha, mapenzi, na heshima ya mtu huku akiandika : "Harageze harageze uyu niwe lolilo rero Album yi video 14 muritayari 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇧🇮🎸🎻🎧🇧🇮🇧🇮"

Albamu hii ya audio na video inaleta mchanganyiko wa Kirundi, Kiswahili na Kiingereza, ikionyesha ukomavu wa Lolilo kimuziki. Kutoka kwenye wimbo wa taifa "Burundi bwejo" hadi kwenye mapenzi ya "Super Glue" na "Zolie", mashabiki wameahidiwa safari ya hisia.

Pia kuna surprise kwa mashabiki wa zamani "Nyibuka" inarudi kwa Version La vie na albamu inafungwa kwa banger ya "Simba imitego (Remix)" ambayo tayari ni wimbo wa mitaani.

HII HAPA TRACKLIST KAMILI YA ALBAMU "SECRET" BY LOLILO:

1.⁠ ⁠Secret
2.⁠ ⁠Nyibuka
3.⁠ ⁠Super Glue
4.⁠ ⁠Burundi bwejo
5.⁠ ⁠Melodie
6.⁠ ⁠Ikete

7.⁠ ⁠Nopfa
8.⁠ ⁠Umunyacaro
9.⁠ ⁠Sawa
10.⁠ ⁠Ingo umpoze
11.⁠ ⁠Nyibuka (Version La vie)
12.⁠ ⁠Zolie
13.⁠ ⁠Mboni
14.⁠ ⁠Simba imitego (Remix)

Ni wimbo gani unaousubiri zaidi?

Toa maoni yako

23/04/2026

Sat-B suwokugwego Gwuburundi , Monia Fleur yariroze Gukorana na Fizzo & Sat B , Kirikou Afisubwoba kwatayindi Hit Azoronka , Emery sun ubu arihehe ?
link iri muri commentaire

Msani wa Burundi mwenye makazi yake kwa sasa nchini Ufaransa, 🇫🇷 Kebby Boy , ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa MON...
23/04/2026

Msani wa Burundi mwenye makazi yake kwa sasa nchini Ufaransa, 🇫🇷 Kebby Boy , ameachia rasmi wimbo wake mpya unaoitwa MON BBE, na tayari unapatikana YouTube k**a visualizer.
Hii ni baada ya miezi 7 ya ukimya

Pitia link kwenye comment ili uweze kutazama visualizer mpya ya MON BBE na kuacha maoni yako.

22/04/2026

Black Nono ntamuBoss nkana Natacha Burundi Muba Star Babarundi//itsinzi kumudanceuse wa Natacha kuri vision

19/04/2026

Naragiye gukora show mu Kayanza. D ONE ni we yatoza amafaranga ku muryango, ariko uno musi ari ku rwego rwo hejuru (hit). Yaje mu gisagara, aronka management nziza aca aba hit.

Ivyo vyavuzwe na Freema boy.

Leo Ijumaa, Iran imetangaza Mlango wa Bahari wa Hormuz kuwa wazi kwa meli zote za kibiashara wakati wa kipindi cha usiti...
17/04/2026

Leo Ijumaa, Iran imetangaza Mlango wa Bahari wa Hormuz kuwa wazi kwa meli zote za kibiashara wakati wa kipindi cha usitishaji mapigano kati ya Israel na Lebanon. Waziri wa Mambo ya Nje Abbas Araghchi amesema meli zitatakiwa kutumia njia maalum iliyoelekezwa na mamlaka za baharini.

Rais Donald Trump ameishukuru Iran kwa hatua hiyo, lakini amesema mzingiro wa jeshi la Marekani kwenye bandari za Iran utaendelea hadi makubaliano yafikiwe. Kufuatia tangazo hilo, bei ya mafuta duniani imeshuka zaidi ya asilimia 11.

Israel na Lebanon walikubaliana Alhamisi kusitisha mapigano kwa siku 10, huku vita dhidi ya Hezbollah vikiwa sehemu ya mazungumzo kati ya Marekani na Iran.

17/04/2026

Freema boy yishura ikibazo Monia Fleur yabajije
KUBERIKI UMUZIKI NDUNDI UTIGERA URENGA IMBIBE?" (International) BIPFIRA HE??

16/04/2026

Dushaka ko abaho abantu bama cawa bazana ibintu vyama vibe umuziki wocushika kure Freema boy

🚨 Yamebaki  masaa 24 pekee kabla ya kufungwa kwa upigaji kura wa Thamani Africa Awards 2026.Msanii kutoka Burundi, Natac...
11/04/2026

🚨 Yamebaki masaa 24 pekee kabla ya kufungwa kwa upigaji kura wa Thamani Africa Awards 2026.

Msanii kutoka Burundi, Natacha Burundi yupo kwenye kipengele cha Rhythm of the Year kupitia wimbo wake KULE.

Upigaji kura unamalizika Jumapili, 12 Aprili 2026 usiku (saa za Kenya 🇰🇪), sawa na saa 5 usiku Burundi 🇧🇮.

🙏 Wananchi wote wa Burundi shabiki wa mafaanikiyo ya msani tuchukuwe nafasi hii kumpigia kura msanii wetu ili kupeperusha vyema bendera ya nchi kimataifa.

📍 Tuzo zitatolewa Mei 10, 2026 jijini Nairobi.
gusa link ipo kwa comment ili uweze kupiga kura

Address

Bujumbura
Bujumbura
6314

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Platform show posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Platform show:

Share